Wakinadada

Usiiondoe hiyo avatar. Moja ya sifa ya mwanamume bora ni kujiamini. Jiamini kuwa avatar yako ni nzuri na ndio maana uliamua kuiweka kwa akili zako zote.

Huna haja ya kutafuta maneno ya kumwambia mdada unayemtongoza. Ongea naye yale yaliyomo moyoni mwako. Jieleze jinsi wewe unavyojisikia na unavyotaka kwake.

Usihangaike kukusanya mazawadi ambayo huna uwezo nayo. Toa kile ulichonacho na unachoona kitamfaa na atakipenda kulingana na uwezo wako.

Wakati wa kutongoza, ni vizuri isitumie uwezo wa pesa ulizonazo, tumia maneno na jinsi unavyojisikia kutoka moyoni. Usiulazimishe moyo kufanya kitu kwa kumfurahisha yeye tu wakati wewe unaumia.
 
nakubaliana na wewe kua moja ya sifa ya mwanaume ni kujiamini,...lakn sio kwenye mambo ya kijinga_unafanya ujinga halafu unang'ang'ana eti unajiamini,.......ila mambo mengine yote uliyosema ni sawa kabisa
 
Duu jamaa ndo unaingia kwenye ulimwengu wa kikubwa mwaka huu?? Karibu sana lakni angalia usije ukauza shamba la urithi then pesa ukaonga zote
 
Usiiondoe hiyo avatar. Moja ya sifa ya mwanamume bora ni kujiamini. Jiamini kuwa avatar yako ni nzuri na ndio maana uliamua kuiweka kwa akili zako zote.

Huna haja ya kutafuta maneno ya kumwambia mdada unayemtongoza. Ongea naye yale yaliyomo moyoni mwako. Jieleze jinsi wewe unavyojisikia na unavyotaka kwake.

Usihangaike kukusanya mazawadi ambayo huna uwezo nayo. Toa kile ulichonacho na unachoona kitamfaa na atakipenda kulingana na uwezo wako.

Wakati wa kutongoza, ni vizuri isitumie uwezo wa pesa ulizonazo, tumia maneno na jinsi unavyojisikia kutoka moyoni. Usiulazimishe moyo kufanya kitu kwa kumfurahisha yeye tu wakati wewe unaumia.
asante sana yani itabidi niyaseme ya moyoni
 
Mkuu, usihangaike kutafuta maneno ya kumwambia, fanya mambo haya yafuatayo, utaona wanawake wanakuja wenyewe:
1. Uwe mstaaarabu na mtulivu au mshua, siyo chakaramu
2. Vaa vizuri na uonekane msafi
3. Usionyeshe kumpapatikia mwanamke yeyote
4. Uwe mchangamfu/charming, lakini usifanye haraka kuzungumzia mambo ya mapenzi unapoongea na mwanamke.
5. Kabla hujachagua Yule umtakaye usipende kuambatana na wanawake wanaokupita karibu. Uwe na msimamo.
6. Ukichagua yule umtakaye mwambie chochote kilicho moyoni mwako. Hawezi kataa maana kakupenda yeye kwanza.
Wanawake wanapenda sana gentlemen. Huhitaji hata kupoteza muda kuanza kujifunza jinsi ya kusololea.
 
very very right.
 
nashukuru sana mkuu nafanyia kazi.
 
well said
 
Attraction has no choice unaweza kujua maneno then uka-fail kupractice, kutongoza ni art ,na ili uwe mtongozaji mzuri ongea na mwanamke yeyote unayekutana naye haijalishi ni mdogo au mkubwa,maongezi yawe kwe muktadha wa mazingira husika ,siimanishi utongoze bibi,wafanye wawe marafiki utaondoa uzito ulionao,kuna wengine huwa hatutongozi ila tunaposition body tu in a positive way,unavyosimama ,unavyotembea,ongea ,unavyoweka mikono,miguu,kichwa,macho lazima yalenge kisawasawa kwenye uso wa -ke,haya yananafasi kuonyesha ww ni mtu wa hulka gani.
 
kukumdogo subiri ukue na kufikia kuwa kukumkubwa njia itapatikana yenyewe ; utaigundua wewe mwenyewe kwani kwa hakika wakati huo utakuwa mpevu!
 
naomba kuleta haja yangu hapa ili wakinadada wanisaidie ni manenogani niseme ili mdada anikubali. na vitu gani nimfanyie msichana ninaemtongoza anipende. msaada tafadhali
Usitegemee wakinadada wakusaidie kwa hili jombaa,bore utuulize vidume wenzio!Watakuambia uwajali,uwe gentleman...blah blah blah!Utaishia kuwa rafiki ama kama kaka yao endapo utafuata ushauri wao katika hili!You gonna end up heartbroken if you don't man yourself up!
 
Back
Top Bottom