Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
- Thread starter
- #81
mkuu kukopa noma! Sasa saluni wataendaje?mmh?hali ilivobana kwa sasa bidada anaweza akajituma weee lakini ikifika kwenye kipengele cha ruzuku wazee kama sisi wazoefu huwa tunakula kona shaaaaaa,,,enzi za hapendwi mtu linapendwa pochi ilishapitaga kwa sasa hakunaga kivileee