Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

mimi naona labda katufundisha ngono,pombe na kutafuna kuku mishikaki na chips!
Hakuna kingine.
Ulimbukeni umetujaa tunashindwa hata kufanya kazi zetu za msingi,eti Kanumba Kanumba,Kanumba Kanumba,Kanumba Kanumba who was he?????????

We did not need Kanumba (RIP) to teach us any of these stuffs.

In several interviews, Kanumba (RIP) pointed out he was not using any kind of alcohol
 
Kanumba kama biiadamu ana mapungufu yake kama tulivyosisi waanadamu wote,lakini mapungufu yetu hayafanyi kazi zetu kuwa mbaya au umaarufu wetu kwenye jamii kuwa wa kubuni.Historia ya duniani imejaa habari zinazohusu viongozi wetu wengi wanaotoka kwenye nyanja mbalimbali wamefanya mambo makubwa sana lakini walikuwa na upingufu mwingi mno,chembelecho Kanumba?Amekufa,alikuwa gwiji wa sanaa,alipendwa,ni Mtanzania mwenzetu basi tumheshimu na tumzike kwa amani.Kumsema mabaya yake kama ilivyo kwa wanadamu wangine wapofariki tuwaachie viongozi wa dini ambao ndio wana dhamana ya kutounya waanadamu dhidi ya maovu ya duniani

This is very positive outlook.:heh:
 
michael Jackson alivyokufa basi Obama aliendelea na shughuli za ujenzi wa Taifa na wala hakukanyaga msibani.

Laiti kwamba Michael na umaarufu wake ule angekuwa ni mtanzania basi tarehe aliyokufa kwenye kalenda zetu tungewekewa kidubwasha chekundu.
Pia tungeenda kuuaga mwili wake ktk viwanja vya ikulu.
Tusingeenda kazini mpaka tumzike.
Na mkulu wetu nadhani angelia hadharani kwa kweli.



This analysis leaves a lot to be desired.
I can not believe that someone is trying to compare Obama and JK (Tanzania and USA) and Kanumba and Michael Jackson.
 
àcheni chuki binafsi. The guy was great. Kila mtu ana mapungufu yake na hamna aliye mtimilifu.
Nakushangaa wewe muanzisha thread unaponda vyombo vya habari na jamii nzima kushadadia habari za kifo cha kanumba, hujioni wewe mwenyewe umetumia muda wako mwingi kuanalyse na kuandika post ndefu hivi. The guy was great ndio maana umepata cha kuandika.

Most of the people are n0t ready to show you the right way to succeed.....
but wait to see what you choose and began to criticize you.
typical a Tanzanian style
Kanumba was the great (RIP), even greater than........
 
Namuomba M/mungu leo kuanzia saa2.30 ashushe mvua ya mawe ili asipatikane mtz yeyote barabarani,leo j,4 watu wote tunatakiwa kua kazini ala!
hahahah...nawaonea huruma watumiaji wa barabara msafara utapopita
 
Kumbe alikuwa under age?Ni kweli anaihitaji msaada ASAP.

She was in many ways a victim.
 
Steven Kanumba kama alivyofahamika, kwa sasa ni marehemu.

Kifo chake naweza kusema kuwa kimewagusa watu weengi ukizingatia alikuwa ktk fani ya maigizo, na ni mmoja kati ya waigizaji ktk runinga anayetajwa kuwa maarufu sana hapa nchini na nchi za jirani.

Hakuwa msanii mkongwe, lakini amekuwa na nyota ya kupendwa na kuvuta hisia za wengi kwa kipindi hiki kifupi alichojiunga ktk fani hiyo.

Kifo chake pia kimekuwa faraja kwa vyombo vya habari hasa Televisheni na Redio ambazo hazina vipindi vya kueleweka.
Pia hata Magazeti ambayo hayana ya maana ya kuandika, nayo pia yamejaza picha za marehemu na udaku wa hapa na pale.

Kifo cha kijana huyu pia kimeita hata viongozi wa ngazi mbalimbali za kisiasa hapa nchini.
kimemuita mpaka Rais wa nchi na kumlazimu aahirishe safari yake ambayo ilikuwa na manufaa kwa taifa na kuja kujumuika ktk msiba.

Kila kona ya wasio na kazi au wasio na ya maana ya kufanya basi habari imekuwa ni ya kifo cha Kanumba, kwenye basi kanumba, mahospitalini kanumba, stendi kanumba, bar Kanumba, wakristo nao hawaelezi tena kufa na kufufuka kwa Yesu kristo bali nao wameshikwa na kifo cha Kanumba, kila kona ni Kanumba, Kanumba, Kanumba.

wengine wamejaribu kukurupuka na kusema msiba huu ni wa kitaifa.
Wengine wamekuja na wazo eti mwili wa Kanumba ukaagwe ktk uwanja wa Taifa.
Wengine tumewasikia wakikaririwa wakisema kwa nini hakufa Ray badala ya Kanumba?
...Stupid

Binafsi najaribu kuuangalia uwezo wa Kanumba kikazi.
Ni wazi kuwa Kanumba alikuwa ni msanii wa kawaida tu ila nyota yake pamoja na yale aliyowahi kukaririwa Baba yake akiyasema ndiyo yamefanya kijana huyu aonekane ni mkali zaidi hapa nchini.

Kanumba movie zake nyingi ni za kawaida na tumeshashuhudia movie zake nyingi zikikosolewa sokoni na wapenzi wa sanaa hiyo.
Haya ni lazima yasemwe hata kama katangulia mbele ya haki.


kwa miezi ya karibuni uwezo wa uigizaji wa hawa mahasimu wawili yaani Ray na Kanumba umepata ushindani mkubwa toka kwa mtu ambaye anaaminika kuwa yuko ktk chati ya juu kwa sasa, akifahamika kama JB ama Jacob Steven.
Je nini kimefanya Ray na Kanumba waporomoke ktk chati ile na kumpisha bila hiana JB?

binafsi kuna mambo matatu yaliyonifanya nimshushe Kanumba na kumdharau.
1. kwa siku za karibuni Kanumba alikaririwa akisema yeye hana mchumba na wala hanywi Pombe, lakini kifo chake kimedhihirisha kuwa Kanumba alikuwa ni Mzinzi na mlevi pia.
Hivyo ni wazi kuwa Kanumba alikuwa ni msanii muongo mwennye kutaka kuonekana msafi machoni mwa watu


2. Pia Kanumba kwa siku za karibuni amesikika akidai kuwa Baba yake pamoja na mama yake wa kambo walimtesa sana pindi alipokuwa anaishi nao.
Wenye akili wakahoji je walikutesa vipi?
Lakini likaja jibu kuwa Kanumba alipokuwa kwao alikuwa anachunga Mbuzi na kuosha vyombo.
Hayo ndio mateso ambayo Kanumba aliamua kumuanika Baba yake na kupelekea kutoelewana kati yao.
Hapa dogo alikosea...


3.Pia jamii iliamini kuwa Lulu ana uwezo mkubwa wa kuigiza.
Hivyo ilimkabidhi Kanumba mtoto huyo ili akisimamie kipaji cha mtoto huyo lakini Kanumba hakufanya hivyo bali alimtumbukiza mtoto huyo kwenye dimbwi la ngono.


Sasa je kwa machache hayo Kanumba kaifunza nini jamii inayovutiwa na kazi zake za sanaa?

The answer to your thread....

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/247373-wimbo-wa-kanumba-alitabiri-kifo-chake.html
 
àcheni chuki binafsi. The guy was great. Kila mtu ana mapungufu yake na hamna aliye mtimilifu.
Nakushangaa wewe muanzisha thread unaponda vyombo vya habari na jamii nzima kushadadia habari za kifo cha kanumba, hujioni wewe mwenyewe umetumia muda wako mwingi kuanalyse na kuandika post ndefu hivi. The guy was great ndio maana umepata cha kuandika.

Niko kwenye mobile otherwise ningekugongea likes kama kumi hivi. Watu wengine bwana...aaarrgh!
 
Nimejarb kufanya uchunguzi mfupi kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii na kusikiliza baadhi ya mahojiano mbalimbali ya wasanii hasa wa kike wanaonesha kumchukia lulu je ni sbb amesababisha kifo cha kanumba au ni jiraz 2 coz alikw mpenzi wa kanumba.
Hi ipo wazi kukuchekea so wote wanakupenda. Kuhs huyu binti iyo itakua ni chk za muda ila ndo sbb imeptkana kazi anayo mdg we2. MUNGU KASEMA MPENDE ADUI YAKO.
 
something great and evil is behind all the force causing people to adore him, he did what pleases most by the name of we all make mistakes.
 
Kutokana na msiba wa Kanumba,inasemekana kuwa kwa sasa baadh ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam yapo busy kutokana na Shopping zinazofanywa na wadau ambao wanajipanga na mazish!.
Moja ya bidhaa ambazo zipo kwenye soko kwa sasa, kutokana na demand kuwa kubwa ni miwan myeusi hasa ile mikubwa.


SOSI:GAZET LA BINGWA
10/04/2012
 
something great and evil is behind all the force causing people to adore him, he did what pleases most by the name of we all make mistakes.

I agree with you.
Task him to list at least 3 things which he think is positive about him.....
Utaona atakavyojigonga miguu
 
Back
Top Bottom