Kwa wadada tu..

Kama unakereka, ukiulizwa uko wapi na unafanya nini mara nyingi unakuwa unavunja amri ya sita.

hapo kweli maana wanaume wakiwa na vimada hata kupokea simu za wake zao shughuli,na akipokea anakujibu kwa ukali
 
data u are very wrong
usipofanya hivyo unaiangamiza ndoa yako
kuuliza ni ishara ya kujali pamoja na upendo
usipouliza wewe unampa nafasi mumeo ya kutafuta nyumba ndogo ambapo atakua anaulizwa,anabembelezwa

shauri yako...
 
Wasiotaka kuulizwa - subiri wakipata shida/tatizo - mfano kuibiwa kila kitu katika mapito............kuugua ghafla ukapelekwa hospital.......etc. ndio wataona faida ya kuulizwa

Kuulizana ni MUHIMU kwenye mahusiano
 
Mimi hayo maswali huwa siulizi kabisa, nakumbuka kuna siku Gozi liliniuliza "hivi wewe hata huniulizi niko wapi, nafanya nini". Nikamwambia kabla sijakuuliza wewe mwenyewe unaniambia na nnajuwa kokote ulipo na lolote ufanyalo ni kwa ajili yetu mradi ukumbuke kuwa unayoyafanya yote ni ya halali. Akacheeeka.

Yes, kuna maswali ambayo muulizaji unaweza kujiona ni hodari lakini yanakuwa so embarassing kwa unaemuuliza, maswali namna hiyo hayana jema.

Du FF!!! Gozi...?
 
mkitaka msiulizwe hayo maswali basi muwe mnatoa taarifa mkichelewa kurudi, usisubiri kuulizwa maswali ya kukera
 
mkitaka msiulizwe hayo maswali basi muwe mnatoa taarifa mkichelewa kurudi, usisubiri kuulizwa maswali ya kukera

Siku ya Ijumaa kama leo hayo maswali ndiyo yanazidi!

Mwanaume unapata kinywaji Dar View mara SMS zinaanza kuingia:
upo wapi?
upo na akina nani?
umeanza tena?
mbona hujibu?
....
ufunguo wako umechukua?
sisi tunalala, sawa ehe?
usiku mwema na hao uliyo nao?
....
mpaka saa hizi saa nane upo na nani?
....
saa tisa yote hii bado tu?
hizo beer beer gani?
hao malaya hawatakupeleka popote!!
 
Siku ya Ijumaa kama leo hayo maswali ndiyo yanazidi!

Mwanaume unapata kinywaji Dar View mara SMS zinaanza kuingia:
upo wapi?
upo na akina nani?
umeanza tena?
mbona hujibu?
....
ufunguo wako umechukua?
sisi tunalala, sawa ehe?
usiku mwema na hao uliyo nao?
....
mpaka saa hizi saa nane upo na nani?
....
saa tisa yote hii bado tu?
hizo beer beer gani?
hao malaya hawatakupeleka popote!!
kwani kuna shida gani ukimpigia mama_Enock na kumwambia unaenda Dar view kupata bia? tena mpaka saa 8 hujarudi unategemea mkeo alale kwa amani chumbani? mimi huwa hata siwazii anafanya n..no, nawaza labda kapata tatizo, lakini akiniambia leo nitaenda club na washkaji mbona poa tu, nalala kwa amani maana najua hata akirudi 12 asubuhi poa tu, ndo starehe. sio wewe unastarehe, mimi nina hofu nyumbani
 
Siku ya Ijumaa kama leo hayo maswali ndiyo yanazidi!

Mwanaume unapata kinywaji Dar View mara SMS zinaanza kuingia:
upo wapi?
upo na akina nani?
umeanza tena?
mbona hujibu?
....
ufunguo wako umechukua?
sisi tunalala, sawa ehe?
usiku mwema na hao uliyo nao?
....
mpaka saa hizi saa nane upo na nani?
....
saa tisa yote hii bado tu?
hizo beer beer gani?
hao malaya hawatakupeleka popote!!

si unaonaaa...!!!!
 
Kujua mwenzi wako alipo ni muhimu sana. Na km ataamua kuniacha simply because nimemuuliza hayo maswali basi hakunipnda kwa dhati na pengine ananicheat somewhere.

Those are simple and very caring questions.

very true! kwa mtu anayejua maana ya kupendwa hatakerwa na hayo maswali because it shows that someone cares.
 
very true! kwa mtu anayejua maana ya kupendwa hatakerwa na hayo maswali because it shows that someone cares.

nafikiri somo langu bado halijaeleweka.... nia yangu ni kuokoa mahusiano... I need to think of sth very touching
 
kuna kitu wa TZ...... bado hawajajua kwamba.... Siasa imeingia mpaka kwenye MAHABA...
 
Tatizo kubwa ni kwamba wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Wanasikiliza NUSU, wanaelewa ROBO, lakini wanaongea mara MBILI. Sitaki kabisa maswali ya kipuzi, nitakuzaba mabao na kukupa kibano kama mbwa mwizi.

thubutuuuu! Yaani mtu anipige kisa nimemuuliza yuko wapi? Hee...I reserve my comments for now na pole zake huyo mwanamke ulienae coz amepata tatizo sio mume.
 
Mi ndo maana sitoweza kuwa mwizi, wa mali wala mapenzi. Manake nikiona polisi tu ntaanza kutimua mbio!
Sasa kuulizwa na mpenzio uko wapi unakereka nini? Si na wewe umuulize? Na it is embarrassing kuulizwa ulipo ukadanganya kumbe mwenzio kakuona! Hutaulizwa tena manake hutaaminiwa tena!
 
Unarudi nyumbani kwako saa tisa? Mama Enock ana kazi! Siku akiacha kukuuliza ujue kaolewa na mlinzi!
Siku ya Ijumaa kama leo hayo maswali ndiyo yanazidi!

Mwanaume unapata kinywaji Dar View mara SMS zinaanza kuingia:
upo wapi?
upo na akina nani?
umeanza tena?
mbona hujibu?
....
ufunguo wako umechukua?
sisi tunalala, sawa ehe?
usiku mwema na hao uliyo nao?
....
mpaka saa hizi saa nane upo na nani?
....
saa tisa yote hii bado tu?
hizo beer beer gani?
hao malaya hawatakupeleka popote!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom