Recent content by VoiceOfReason

 1. VoiceOfReason

  LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

  Poa wakuu tufanye cost breakdown ya hizo hekari na mabanda ya mwanzo kama ni fence au nini ili tujue vizuri.... Katika pita pita zangu pia nimeona hii (Raising Goats for Meat) http://extension.umd.edu/publications/PDFs/FS816.pdf This might be the begging of something good :) Tena kama ardhi...
 2. VoiceOfReason

  Kenya declares war on Al Shabaab!

  Mkuu don't you think this is a means to an end..?, hata kama motive za hao France ni self interest wouldn't you rather have a Somalia and East Africa without Al Shabab..?,Dont you think sometimes an enemy of my enemy is my friend ?, or would you rather have Al Shabab and everytime you shop or...
 3. VoiceOfReason

  Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

  Tena huenda kutafuta wawekezaji wa kuwekeza ambayo huenda ikawa a complicated process na wakaonekana wana maslahi binafsi (10%) wanaweza waka-mobilize watu huko vijijini wakawajengea biofuels domes ambazo wakulima watatumia samadi na kupata gesi ya kupikia bila gharama ya kuni wala mafuta ya taa..,
 4. VoiceOfReason

  MSAADA: What is the best way for a fast, less pain death?

  I guess maybe you are writing a novel or something and you are putting up a plot nimeona hii online from yahoo answers maybe itakusaidia kwenye kitabu chako (or any creative work your doing) ila kama your suicidal talking to friends na solving the problems might help (no fun in running away from...
 5. VoiceOfReason

  De terugkeer van .......per uur per uur

  The return of ........ per uur per uur
 6. VoiceOfReason

  Antivirus gani nzuri zaidi?

  cheki hii post ni swali kama lako https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/182370-nahitaji-antivirus.html#post2666328
 7. VoiceOfReason

  De terugkeer van .......per uur per uur

  Duh Karibu hizi hodi nyingine kwakweli hata ukiwa bafuni unazisikia...!!! Karibu Jamvini :) The Return of.... per uur per uur.... karibu tena au ndio karibu ya mara ya kwanza ? Anyway karibu is karibu kwahiyo KARIBU
 8. VoiceOfReason

  Aisee jombaa,ni aje humu?

  Ha ha haaa Mkuu kumbuka ukiwa "Jack of all Trades..., Utakuwa a Master of Non...." Karibu Jamvini
 9. VoiceOfReason

  Kwa wajasiliamali, wafanyabiashara na wanaoelewa....

  Mkuu hata kama ipo kichwani hio ni business plan, huwezi kwenda popote bila kuwa na plan (kwahiyo hata wewe kwenye project zako ulikuwa na plan) hata kuuza nyanya unakuwa na plan.. Ila uzuri wa kuwa na well written plan inakusaidia kujua at an instant time upo wapi na unatakiwa uende wapi na...
 10. VoiceOfReason

  Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

  Mkuu welcome aboard to the really Tanzania, nadhani wananchi wameshachoka na kinachowaumiza sana sio wewe kupigwa waka kufungwa bali wenyewe kudhulumiwa na kupigwa na maisha magumu kila siku.. Huenda kupigwa kwako na wewe utaonja siri ya kata ambayo mtungi ndio unajua..., welcome to the really...
 11. VoiceOfReason

  Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

  Nadhani hii inakuwa na manufaa sana kwako sababu kama mtu alimuua ndugu yako kwa mateso au hawa wanaotoa kiungo cha binadamu (au hata rape) inaweza kuacha kovu la maisha kwa mtu ambalo ni mateso kuliko hata kifo..., nadhani watu kama hawa kupewa instant kifo inakuwa ni kama wameget off lightly
 12. VoiceOfReason

  Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

  Mkuu tatizo moja mtu akikubali kosa ili amuokoe mwingine (mfano mtoto wake) hapo tatizo lipo sababu jambazi anaweza akawa ameokoka na mtu mzuri ameokoka.., Pili gharama ya kuhukumu kifo ni kubwa mno kwanza lazima watu wapate uhakika zaidi na zaidi kwamba kweli alifanya alafu ikija kubainika...
 13. VoiceOfReason

  Nimepigwa Ban kwa kushangilia kipigo cha Man U.....

  Mkuu inabidi usome mazingira nakumbuka kipindi England anafungwa na Brazil (Baada ya Ronaldinho, kumuaibisha David Seaman) nilikuwa nimezungukwa na washabiki wote wa England, kipindi hicho mechi zilikuwa asubuhi.., ilibidi nijikaze kushangilia na niende chooni kidogo ili nikashangilie huko na...
 14. VoiceOfReason

  Kenya declares war on Al Shabaab!

  Its a Terrorist Attack "Inciting Terror to people" and no matter who has done it or what has caused it needs to be stopped.., and As I have told you first Al Shabab promised to do such incident, and remember I told you these Terrorists group they work in cells which means they have no one leader...
 15. VoiceOfReason

  Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

  Asante Mkuu Much Appreciated Kwa Jibu lako.., Pamoja Sana..
Top Bottom