Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
Kama tayari una mawazo ya kufanya biashara, je ni kipi kifatie baada ya mawazo hayo.
A. Kutafuta mtaji hivyo utafanya biashara yako kutegemea na mtaji ulionao.
B. Kufikiria aina ya biashara unayotaka kufanya kwahiyo utatafuta mtaji na location kutokana na aina ya biashara unayoifikiria?
C. Kutafuta location ya biashara yako halafu uanze kufikiria aina ya biashara ya kufanya hapo.
Natanguliza shukrani.