Recent content by vlc

  1. vlc

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Wakuu yani dharau kama zote. Kujipanga muhimu
  2. vlc

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Nipo nyumbani mpaka mda huu na-type. Hali inazidi kua mbaya wakuu, naomba niwahaidi mwanzoni mwa mwez wa 9 picha ya geto Langu. Mungu nisaidie.
  3. vlc

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Huu Uzi umefikisha views million 10. Hatari. !!!
  4. vlc

    JamiiForums Tanzania VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Ni mda Gani virusi vinaweza kuonekana kwenye vipimo Toka mtu aambukizwe. (Kama swali lishajibiwa quote post yake hapa)
  5. vlc

    JamiiForums Tanzania Ajira za mda mfupi NEC

    Labda Sent from my Azumi KIREI A4 D using JamiiForums mobile app
  6. vlc

    JamiiForums Tanzania Ajira za mda mfupi NEC

    Wameshapewa maafisa wao. Fungua nec web yao utaona
  7. vlc

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Iran na Marekani: Ndege za Kimataifa 'zaepuka' anga la Iran

    Kashikwa matako atafanya nn sasa. Wao ndo wameanza uchokozi. Utapitishaje spy drone juu ya anga la mwenzio nalf usingizie umeirusha kweny international air. Kashazoe kuwachezea Syria na Iraq huko. Huyu Ni mwanaume Iran. Ajifanye kama anaijikuna aone mabomu ya nyuklia hataivyo pishana angani.
  8. vlc

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa kike anataka kunitia majaribuni

  9. vlc

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Hahaha.. Hawa watu Ni hatari Sent from my Azumi KIREI A4 D using JamiiForums mobile app
  10. vlc

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Sishangai kukuta menyu janja kama hii nyumba ndogo.
  11. vlc

    JamiiForums Tanzania 195 gigapixel ndani ya picha moja.

    Inaonekana ivyo. Au alikua airborne.
  12. vlc

    JamiiForums Tanzania MTK ENGINEERING MODE NI NINI??

    Unaenda wapi?
  13. vlc

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata Passport kwa uharaka

    Uo ndo ukweli chief nilishawahi kupiga route nyingi sana kurasini, kwa nyaraka cha ulazima ni ID yako ID ya mzazi na cheti cha kazaliwa. Izo barua za kata na SM ,na maviapo kibao kuchoshana tu. Mm Nishaviaanda vyote, kilichobaki Ni kutafuta 'contact' afanikishe. Kurudi tena sitaki.!
  14. vlc

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata Passport kwa uharaka

    Asante, bahati mbaya ndugu zangu wote hawajakamata kitengo ata kimoja nchi hii.. Finally, tupo page Moja. Unatakiwa ujichange kiasi gan ili route za office zao ziwe chache. (Au zisiwepo kabisa)
  15. vlc

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata Passport kwa uharaka

    Asante kwa maelezo sahihi. ila haraka ipo wapi hapa , namm nilikua nahitaji kwa haraka ifu yu no waraa am mininnnnnn....!
Back
Top Bottom