Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,239
- 1,884
Habari Wakuu,
Niko huku kanda ya Ziwa Magharibi, tafadhali naomba kufahamishwa namna ya kuweza kupata kwa uharaka (let's say ndani ya mwezi mmoja) Passport ya kusafiria ya Tanzania.
Ni mambo gani ya msingi napaswa kufanya au vitu gani natakiwa kuwa navyo ili kufanikisha jambo hili?
Kwa sasa nina ile ndogo ya East and Central Africa, natarajia kusafiri mwezi wa sita mwanzoni.
Wasalaam.