195 gigapixel ndani ya picha moja.

195 gigapixel ndani ya picha moja.

Basi umejiona bonge la detective mwenyewe ha ha ha..... Acha hayo mambo bwana utachekwa... Hizo ni satellite image mkuu
Hizo ni picha zilizounganishwa kijanja na wala sii picha ya kupigwa imetengenezwa na ukitaka kujua ukweli, picha ya kawaida unaweza ku izoom kila sehemu au kila pande lakini hii inakupeleka hapo hapo tuu waliposimama hayo maroboti ya watu
 
Hapana Hakuna Ujanja Ingia website yao..
 
Hizo ni picha zilizounganishwa kijanja na wala sii picha ya kupigwa imetengenezwa na ukitaka kujua ukweli, picha ya kawaida unaweza ku izoom kila sehemu au kila pande lakini hii inakupeleka hapo hapo tuu waliposimama hayo maroboti ya watu
Rubbish
 
Mhhhh
Screenshot_20181220-165508~2.jpeg
 
Hizo ni picha zilizounganishwa kijanja na wala sii picha ya kupigwa imetengenezwa na ukitaka kujua ukweli, picha ya kawaida unaweza ku izoom kila sehemu au kila pande lakini hii inakupeleka hapo hapo tuu waliposimama hayo maroboti ya watu
umelogwa
 
Aliyechukua hii picha alikuwa juu ya ghorofa?
 
  • Thanks
Reactions: vlc
Back
Top Bottom