Ajira za mda mfupi NEC

Ajira za mda mfupi NEC

Brcbrwn

New Member
Joined
Jun 19, 2019
Posts
4
Reaction score
0
Nani anajua kinachoendelea maana tunasubiri zitangazwe tunaona kimya mwenye kujua atujuze tafadhali.
 
Wameshapewa maafisa wao. Fungua nec web yao utaona
 
Tangazo lilishatoka wajiiri sio nec wamerudi mfumo wa zamani tangazo utaliona kwenye mbao za kata na wilaya fatilia uko.
 
Hizo hapo
IMG-20190703-WA0000.jpeg
IMG-20190703-WA0002.jpeg
IMG-20190703-WA0001.jpeg
 
Back
Top Bottom