Mwanafunzi wa kike anataka kunitia majaribuni

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,086
2,189
Wadau mimi ni mwalimu wa shule ya secondary xx. Ni shule ya bweni jinsia mchanganyiko. Sasa hivi ni likizo na watoto wamerudi nyumbani.

Juzi usiku nikapokea sms "sir habari ya likizo,nimekumic sana" nikamuuliza wewe ni nani akanitajia jina lake.

Ni mwanafunzi wa kike kidato cha tatu. Ni mtoto mwenye mvuto sana na ni mzuri sana. Sasa kila siku anatuma sms kwamba kanimic na anataka anitembelee ninapoishi. Nisipojibu sms analalamika kwamba namchunia.

Jamani haka katoto kananitia majaribuni sana. Naombeni ushauri wenu maana hapa nimefikia point of no return.
 
1133332
 
Wewe ni mwalimu kweli au ndio walimu wa dot com? Mwalimu nijuavyo ni mkali na si mtu wa kuwa na mazoea na mwanafunzi tofauti na yale ya darasani. Ushauri wangu au block number yake, au mwambie ashike adabu wewe ni mwalimu wake na awe na heshima kwa walimu mtishia kumpa adhabu, au riport kwa mwalimu wa nidhamu au academic master kabla ya kwenda kwa mkuu wa shule. Itakuwa shida kama mlikuwa mnabadilishana message za mapenzi. Hapo ndipo utaoteshwa mapembe. Walimu wa siku hizi hamna staha kabisa
 
Kama umesajili line yako kwa kitambulisho cha NIDA tayari umeshajulikana.
Cha msingi kafundishe topic ya reproduction hasa eneo la ovulation process halafu kaulize kama kameelewa.
 
Wewe ni mwalimu kweli au ndio walimu wa dot com? Mwalimu nijuavyo ni mkali na si mtu wa kuwa na mazoea na mwanafunzi tofauti na yale ya darasani. Ushauri wangu au block number yake, au mwambie ashike adabu wewe ni mwalimu wake na awe na heshima kwa walimu mtishia kumpa adhabu, au riport kwa mwalimu wa nidhamu au academic master kabla ya kwenda kwa mkuu wa shule. Itakuwa shida kama mlikuwa mnabadilishana message za mapenzi. Hapo ndipo utaoteshwa mapembe. Walimu wa siku hizi hamna staha kabisa
Sasa mkuu kama mimi mwenyewe ni mwalimu unategemea nini hapo haha
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom