Recent content by victor moshi

  1. victor moshi

    Tajiri kijana awaponda masikini wanaojadili sakata la bandari

    Mkuu hatuja kuelewa hapaa..embu sahihisha sentensi yako wana nzengo tukuelewe..[emoji848] Sent from my TECNO BD2 using JamiiForums mobile app
  2. victor moshi

    Soda za Coca Cola haziko sawa

    [emoji1787] mkuu hata mimi naona hiloo...waendele na brand yao mimi nishaamia kwenye pepsi max washaniteka tayari
  3. victor moshi

    Soda za Coca Cola haziko sawa

    Naungaa mkono hojaaa coca cola ya dar imepoteza latha na haina testi yake halisi nitofauti na ya mwanza, na kilimjaroo....mpk nimeachaa kutumia hiki kinywaji changu pendwa ni kiwa dar.. Ni wakati wa campun ya coca cola kwanza dar kujitafakarii... Kuna sehemu na hisii hapako sawa ndani ya campun...
  4. victor moshi

    Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

    Hii tarifa nilikuwa naangalia live sky news walikuwa live kwenye NASA HQ daah nimevutiwa sana na lecture iliyokuwa inatolewa pale gafla na mimi nikatamani kuwa astronomer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. victor moshi

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wanaume wa shoka...!! Wanakula bata kama wanavyo jisikia si kama yule kikizee wenu amejifungia ndani kinaogopaa hata kwenda uani...!!
  6. victor moshi

    Kuishi/kusoma kwenye nchi za G7 vs BRICS

    Weka ushahidi....!? Au tupe link tusome
  7. victor moshi

    Mtanzania mwenzetu yupo Dubai anahitaji msaada

    We nayeee ni kenge maji huna pointi....!! Bora unge nyamaza..!? Ina maana huko dubai alienda na ki miujiza Inaa maana alitoka huku akajua akienda dubai atakuta chakula cha buree...!? Sikuizi maisha ayatafuti kama zamani enzi za kina nyerere..useme watu watakuonea huruama Akilizako kichwani...
  8. victor moshi

    Mtanzania mwenzetu yupo Dubai anahitaji msaada

    Ivi una endaje sehem tena nchi za watu ukiwa na plan A tu...yaan wabongo hapo ndo tunapo feliii...!! Ngoja ni kupee idea ya kumsaidia huyo jamaa wakoo ikitik urudi hapa uje kunipa mrejesho maana mimi ni jobless. Nampa pongezi za kufika huko dubai inaoneka jamaa kajitoa ..Ilaa anatakiwa afutee...
  9. victor moshi

    Aliyekuwa Askofu KKKT, Dkt. Edward Mwaikali ahamia Kanisa la KKAM, ugomvi wa mali waibuka

    Hujui ulichoo andika bora ukae kimyaaa....kanisa ni mali ya wanachi sio maliya askofu wala mchungaji... Hana mamlaka ya kuamisha majengo yaliyo sajiliwa kwenye organization fluni kwenda kwenye organization anayo taka yeye...! Hata kikatiba halipo hata kisheria halipo Kwa swala la kujenga mimi na...
  10. victor moshi

    Watalii kushukia KIA ni tatizo

    Utampangia ajee mtu sehem ya kushukia...we unafikiri mtalii anapo kuja tz hajui kuna sehem ina itwa dar..!? Wengi wanajua Na wengi wanao shukia KIA wanakuja kwa specific purpose kupanda mlima Kilimanjaro au kwenda ngorongoro na n.k sio kufanya starehe au wewe unajua utalii ni starehe...!? Mbona...
  11. victor moshi

    Natongozwa sana na wadada Instagram

    Biashara ni matangazo
  12. victor moshi

    Nimeletewa mdada wa kazi "jini"

    Sijaona ujini hapo..!! Kifupi anakuta sema tu mkuu huna mzukaa wa ku chakata hiyo papuchi... kama una ona kero sikunyingine umpe uhuru day off aatoke akashange mji anaweza kupata boya wake akama tuliza hizo genyee..
  13. victor moshi

    Msaada mwenye ujuzi wa kifaa hichi kinaitwaje?

    Sawa mkuu nimekuelewa asante kwa ufafanuzi
  14. victor moshi

    Msaada mwenye ujuzi wa kifaa hichi kinaitwaje?

    Kati pita pita zangu mikoa tofauti nimeshakutana na magari katha ya mebeba hicho kifaa mfano Arusha, mwanza, Kilimanjaro . Wakuu kama kuna mtu mwenye uelewa naomba atupe maelezo. A) jina la hicho kifaa B)matumizi yakee? C) na kina fanya je kazi?
Back
Top Bottom