Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
ACHENI KUNYWA SODA
hili ndio la msingi haswaa
ACHENI KUNYWA SODA
Hang over za pombe asubuhi unatowa na nini?
Cocacola ni sawa na chai ya rangi ya baridi tu.Kwa watumiaji wa vinywaji vya kampuni ya Coca Cola Kwanza, hivi karibuni soda zao zina walakini.
Soda hazina gesi kabisa, hii inasababisha tuhisi ni soda feki.
Coca Cola tusaidieni watumiaji wa vinywaji vyenu maana soda zenu zinakera sana.
Soda za Fanta huwa zinakuwa mbaya ni kama unakunywa damu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Labda kuna njemba ametumia akili 'kui-sabotage' c'cola ili biashara yake ipande. Bongoland hii!Kwa watumiaji wa vinywaji vya kampuni ya Coca Cola Kwanza, hivi karibuni soda zao zina walakini.
Soda hazina gesi kabisa, hii inasababisha tuhisi ni soda feki.
Coca Cola tusaidieni watumiaji wa vinywaji vyenu maana soda zenu zinakera sana.
Soda za Fanta huwa zinakuwa mbaya ni kama unakunywa damu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Chai na caffeine zina tofauti gani? Labda useme kunywa tangawizi.kunywa chai au juisi ya chungwa
Rwanda wao wana ladha kama zamani , halafu wana fanta lemon pia huku ilikuwa discontinued kitambo sana .Fanta inanoga kama zile Fanta za Zambia niliwahi iacha sehemu nikidhani imeharibika nikaja kujaribu maeneo mengine nikakutana na radha kama ile niliyoiacha nikagundua hawa ni tatizo ingawaje nakunywa soda mara chache sana ila hizo Fanta hazipo sawa kabisa...
Product ikiwa ya mzungu, ukamuachia mbongo under license basi quality control inakuwa hakuna.Cocacola ni sawa na chai ya rangi ya baridi tu.
Ndio soda za sasa inaonekana zinavuja gesi, vifuniko vinatoka kwa wepesi sana na ni soda zote za coca cola kwanzaWauza soda kuna muda tunaonekana mbinu juz kat nimechukua crate kadhaa nafka shop nakuta zmelegea vifuniko yaan unaweza fungua kwa mkono tu
Wewe ndo wasema hivyo ila hizi kampuni zinatengeneza soda nyingi huwa wanakuwa hadi ma stock ya wiki nzimaNo uzalishaji ni mdogo kwasasa inakua ngumu bidhaa kuwafikia wahitaji kwa wakati. Bei pia sio rafiki kama makampuni mengine ya maji.
unazungumzia soda, nilijua maji ya kilimanjaro. Hata hivyo soda pia wanaburuzwa na pepsiWewe ndo wasema hivyo ila hizi kampuni zinatengeneza soda nyingi huwa wanakuwa hadi ma stock ya wiki nzima
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hakuna tofauti ni kitu kimoja, tofauti yake ni maneno tuu "zero" inatumika na kampuni ya Cocacola ( Coke Zero) na " diet" inatumika na kampuni ya pepsi ( Pepsi diet).Hivi kuna tofauti kati ya coca diet na coca zero?
Wenyewe wanakwambia unakunywa brand siyo quality 😃Naungaa mkono hojaaa coca cola ya dar imepoteza latha na haina testi yake halisi nitofauti na ya mwanza, na kilimjaroo....mpk nimeachaa kutumia hiki kinywaji changu pendwa ni kiwa dar..
Ni wakati wa campun ya coca cola kwanza dar kujitafakarii...
Kuna sehemu na hisii hapako sawa ndani ya campun ya coca cola kwanza...
Wanazitia dowa soda zote za coca cola.