Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,481
- 11,275
Naona mabishano ya Brics na G7 naomba kuuliza wewe ukipewa ofa ya kuishi au kusoma nchi za G7 ambazo Ni Marekani, uingereza, Canada, Italy, Ufaransa, Ujerumani, Japan na kusoma au kuishi kwenye nchi za BRICS ambazo ni Urusi, China, Brazil, South Africa na India
Utachagua kwenda kuishi/kusoma kwenye nchi gani?
Toa sababu
Hope hapa ndo tutaona upande upi una ushawishi mkubwa duniani.
Utachagua kwenda kuishi/kusoma kwenye nchi gani?
Toa sababu
Hope hapa ndo tutaona upande upi una ushawishi mkubwa duniani.