Yaani ni ukweli mtupu. Kuna siku wife ile anaingia ndani hata hajakaa wala hatujamaliza kusalimiana, akaanza kuniuliza mbona hujaniambia kama nimependeza kisa katoka kusuka nywele.
Hivi hii habari ya hao watu nitaarifa rasmi iliyotolewa na kamanda wa mkoa husika kwa vyombo vya habari? Au ndio uzushi unaoenezwa kwenye mitandao ya kijamii?
Mkuu yawezekana haufahamu, mtuhumiwa anaposafirishwa kwenye chombo chochote cha usafiri haruhusiwi kufungwa pingu, ukiona kafungwa atakuwa hajui haki zake.
Kuna mdada aliwahi kuwa boss wangu, alikuwa mtu wa makelele mno. Niliamua kuwa nakaa kimya si zaidi ya salamu na maelekezo ya kazi, nikiingia kazini ni serious na kazi zangu na sina story nae na akijiongelesha namwangalia tu simjibu chochote, baada ya muda kupita akaanza kunipa deal za hela na...
Poleni na majukumu ya kila siku, naomba msaada wa ku unlock avg ant theft kwenye simu yangu.
Niliweka hii program muda mrefu kidogo, Leo nimejisahau nikabadili line ya simu ikajilock, Nimejaribu kutumia website yao ku unlock lakini unakataa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.