Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Jamii Forums | The Home Of Great Thinkers ili kuweza kudownload JF Application for Android na kuinstall kwenye kifaa chako cha Android ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.

Msaada wa kudownload Jf application kwenye Nokia lumia 1320 windows phone 8.1
Young Master Je kuna Uwezekano wa baadae kupata Material Design ya Jamiiforums App hii
Naomba unipe mda ili niwasiliane na uongozi wa JF kuhusu hili then I will get back to you.
ni kwa nini hii simu yangu inashindwa kuinstall application yoyote kwenye playstore .mwanzoni kabla sijaiwekea memory card ilikua ina install vizuri applications.but baada ya kuona internal memory iko full,nikanunua memory card ili kuongeza space.sasa ni kwanini haiwezi kudownload application yoyote?ukidownload inaandika 'there is insufficient space' wakati inanafasi kubwa?
mkuu hakuna app ya jamii forum kwenye PC? nisaidie kama unayo ili niweze kuistall kweny PCKwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Jamii Forums | The Home Of Great Thinkers ili kuweza kudownload JF Application for Android na kuinstall kwenye kifaa chako cha Android ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
mkuu hakuna app ya jamii forum kwenye PC? nisaidie kama unayo ili niweze kuistall kweny PC