Wanajeshi, polisi watwangana risasi

Wanajeshi, polisi watwangana risasi

Naomba msishabikie hii kama ni ukweli. Labda ni joke.
Vyombo hivi ni muhimu kwetu vikawa na heshima busara na uzalendo kwa hio kusikia
- mwanajeshi amevunja sheria hadi amekamatwa na polisi ni jambo la kufanyia kazi.

-au kusikia polisi wamekamata mwanajeshi bila hatia ni jambo baya pia
- kuwa jeshi JWTZ wanachukua hatua za kupiga individual police men Ni jambo la kutisha

Tuwaombee viongozi wote wenye dhamana ya maamuzi kwa level yoyote wapate busara uimara na ujasiri wa kutekeleza majukumu yao kizalendo
 
TARIME SAWA NA SOMALIA NDOGO:
anga la tarime laharibika ghafla,
latawaliwa na milio ya risasi za moto,
huku hali ya sito fahamu ikiendelea
kutanda ktk eneo hili..
Kwa habari za kina zinadai kuwa,,
kumezuka ugomvi baina ya wanajeshi
na askari wa kanda maalumu,, ugomvi
umetokea baada ya askari wa kanda
maalumu kuwakamata wanajeshi wawili
ambao walikuwa wakiendesha pikipiki
bila ya kuvaa element,, wanajeshi hao
inasemekana walikuwa wamevaa kiraia
tu,, na hvyo kama kawaida ya maaskari
walianza kuwagasi na kutaka
kuwadhalilisha wanajeshi hao mbele za
watu kwa kutaka kuwapiga hadharani..
Lakini ilikuwa kinyume,, kwa askari hao
wa kanda maalumu walijikuta
wakipokea kipigo kikali kutoka kwa
wanajeshi hao,, na ndipo askari hao
walipo amua kuita wenzao (defender
mbili), walipofika bado wanajeshi hao
waliendelea kutoa upinzani kwao, japo
kuwa mwisho walielemewa na
kukamatwa..
Taarifa hzo ziliwafikia wanajeshi
wengine waliokuwa kambini (nyandoto)
,, ndipo walipoamua kuja mjini kuja
kuwachukua wenzao.. Kilichotokea
hapo, hakuna aliyeweza kusimulia
maana wote tulikuwa tunakimbia,,
mpaka sasa hali bado ni tete mjini
hapa,, risasi zinalia kama mvua..
Hatujui mwisho wake..

nimefurahi sana hao mbwa kupokea kipigo maana wanatunyanyasa sana hasa tunapokuwa na pikipiki zetu hapa tarime.kwanza wao si trafiki lakini wanaingilia tu.mimi binafsi walishanikamata kama mara3 hivi bila hatia yoyote.wanakilimbikizia makosa hata ambayo huna.na ili wakuachie lazima utoe pesa si chini ya 50000.nawapa big up wajeda kwa kuwatembezea kipigo mbwa hawa.na ninawaomba muendelee na kipigo hiki hata mnapowakuta wakiwanyanyasa raia wema si lazima wanapoingia kwenye anga zenu tu.viva wajeda
 
tarime ni sehemu nyingine kabisa, na matukio yote yanayotokea tarime yanayoripotiwa ni theluth tu, tarime kuna maeneo ikishafika saa 1 jioni usitoke, hatari sana huku mahala utafikiri sio tz
 
mm siwapendi polisi kutokana na dhuluma wanazofanyia raia daily. wapigwe tu. watz inabidi tuhoji majukumu ya polisi hapa nchini. majambaz wanaua raia daily lakn polisi wanahangaika na daladala na bodaboda mtaani tu kulazimisha rushwa
 
Juhudi zako zimeishia hapo?habari sijaielewa tukio limetokea lini na saa ngapi?

VURUGU MARA: Wanajeshi 6 JWTZ jioni hii wavamia kituo cha polisi cha Tarime na kuwapiga polisi baada ya mwenzao kukamatwa, RPC Lazaro Mambosasa athibitisha.
 
una akili wewe?au ndiyo unaleta siasa hadi kwenye huu uzi unajua umuhimu wa jeshi la polisi nchini!?hiv unajua kuwa utulivu ambao tunao ndani ya nchi ni kazi ya polisi?au wewe ni ukawa!?

mmhh ulikuwepo nini kweny hicho kipigo au ndiyo wala rushwa mlio ararishwa na serikar
 
...."aah......na wapigwe tu tumechoka" mwisho wa ku-quote...
 
Taarifa nilizo pata toka huko ni kwamba, wanajeshi wanane wamekamatwa na wawili kati yao wamejeruhiwa baada ya FFU kuitwa kuongeza nguvu.
 
....


amazing-nigeria.jpg


kwi kwi kwi kwi
 
Dah police hawapendwi kweli,hata kama ukweli ni kwamba wanajeshi ndo wamepigwa watu wataripot tofauti ili ionekane police ndo wamepigwa.Mfano kule Arusha wanajeshi waliminywa sana but waandishi wa habari wakaripot tofaut,the same to this one
 
Wakae macho si muda kikosi kizima kitahamia huko hakuta kalika
 
Wakuu nipo Tarime toka Jana kuna kuna vurugu kubwa kati ya wajeda na polisi Jana risasi zimerindima usiku na RAIA wanne wamejeruhiwa chanzo ni polis kumchapa mwnajeshi kwa kuendesha pkpk bila kuvaa helmet
 
Back
Top Bottom