Recent content by valangati

  1. valangati

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Dar na tatizo lao la kuomba omba hela

    mkuu hebu baki njia kuu huoni kama wanakuona shirika la misaada mara kodi mara nauguliwa achana na mambo hayo ipende familia yako mpende mkeo.
  2. valangati

    JamiiForums Tanzania Wameniibia duka lote la vinywaji

    hapo hakuna haja ya kumtoa m2kafara huyo mwizi mnamahusino tena ya karibu maana haiingii akilin mtu asie kujua akaja kuiba mali zako zote
  3. valangati

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni..

    kwa kipindi hiki litaangaliwa upya suala la posho na mafuta ipo haja hiki siyo kipindi cha kupoteza tena fedha za nchi hii
  4. valangati

    JamiiForums Tanzania Nitaitumiaje locked iPhone 5 niliyolisi toka kwa marehemu kaka yangu..

    pigia picha 2 maana haina kazi tena
  5. valangati

    JamiiForums Tanzania Hii ya kulipa ili utumie daraja la Kigamboni, itakimbiza Wabongo, subirini muone!

    we peke yako ndio hutaweza maana huna hela usiwasemee watu
  6. valangati

    JamiiForums Tanzania Trafiki akijitahidi kumtongoza mzungu kwa kiingereza huku akivunja sheria za barabarani

    Ipo haja ya kufanya uchunguzi juu ya hili na ikithibitika basi apelekwe hata English corse ili tusiumbuke maana hii ni aibu
  7. valangati

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuwasilisha majina mawili yanayopendekezwa kumrithi Dr. Slaa

    Hiki ni kipindi muafaka kabisa kwa nafasi hyo kuchukuliwa
  8. valangati

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru mabanda ya Shekilango (dagaa dagaa), yabomolewe

    Sawa tu kama hajafata utaratibu....atajua...2...mara nyingine ..aulize...
  9. valangati

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya asali, tango na limao

    Uzushi..tu wala hauna ukweli wowote
  10. valangati

    JamiiForums Tanzania Shilole: Nilimpiga makofi na nikitoka alinibebea pochi

    Hana jipya huyo dda kwanza mbabaikaji...dogo..kavumilia mengi...na kachukua uamuzi mgumu kumuacha...mwacheni apige vijembe...imemuathiri...kuachwa...maàna mastaa wamezoea kuacha cyo kuachwa....
  11. valangati

    JamiiForums Tanzania Hili neno 'Mungu si Athumani'

    Si vizuri mungu kumfananisha na kitu chochote...mimi kwa dini yangu ni marufuku ....i m muslim by nature.......
  12. valangati

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

    We ni mpiga kazi na hapo anampigia kazi ...huyo broooo
  13. valangati

    JamiiForums Tanzania TID ni hatari sana!

    Ni kweli TID..aka mnyama..aka..mti mkavu...ni mkali...ila hashauriki....hyo jamaa..huo ndio urithi wake....
  14. valangati

    JamiiForums Tanzania Mtu yeyote atakayetaka kulindwa na polisi wakati anakwenda benki atoe elfu 10

    Swala ni pale unapomlipa polis halafu mkatekwa mkaporwa...jeshi linarudisha ..fedha tulizo porwa....maana kijana wao kashindwa kupambana?
  15. valangati

    JamiiForums Tanzania Masanja: Nimenunua BMW X6 kama mtu mwingine anavyonunua baiskeli

    Huyu ni mfano wa kuigwa maana ni msanii anafanya..sanaa ila katka maisha jamaa haigizi% keep moving mazee
Back
Top Bottom