TID ni hatari sana!

Uenda sauti bado ipo sema kichwani ndo hakujatulia...Kama vipi amtafute mtu amchore mistari ya ukweli adondoshe hit ya ukweli
 
Ni kweli TID..aka mnyama..aka..mti mkavu...ni mkali...ila hashauriki....hyo jamaa..huo ndio urithi wake....
 
TID nakubari sana nyimbo zake tatizo skuizi anaonekana kukonda sana sijui miunga..?!!
 
Nakafahamu kitambo na ndiyo maana nakuambia si mwanamuziki na pia hana wimbo wowote wa maana....mleteni maskani hapa arudie kula unga zaidi na kujichoma sindano.
Mkuu TID ameshuka kimziki kwa kipindi hiki cha karibuni..Ila kusema hajui ukimaanisha hajawahi kufanya mziki mzuri sidhani kama unakuwa sahihi...Nwei unaweza kuwa sahihi coz masikio tunatofautiana
 
Huyu dogo TID angefika mbali sana sijui laana hii ya ngada kaitoa wapi!namfahamu tangu akisoma Shaaban Robert pale karibu na Diamond.
Katika Music artists wa Bongo yeye ndio mwenye kiwango cha juu katika kujieleza katika vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC,Channel O nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom