Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,328
- 6,659
Mahakama yaamuru mabanda ya Shekilango ya CCM yabomolewe na muda huu majengo hayo yanaendelea kubomolewa . Sehemu hiyo ni Maarufu kama dagaa dagaa ambapo jioni watu walikua wakikutana kubadilishana mawazo kupata vyakula na vinywaji.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah Bulembo amesema kuwa hakuna order ya mahakama inatoka leo halafu wewe unabomoa kesho, amesema wao wameshindwa kufanya lolote sababu wao ni chama tawala wakifanya jambo wataonekana wanafanya vurugu.