Shilole: Nilimpiga makofi na nikitoka alinibebea pochi

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Hahaaa kuna hii nyimbo mpya ya shilole sijui inaitwaje vile, ila video yake inapigwa sana EATV.

Anampiga majungu kwa mbaali kijana wake wa zamani kua alimzaba makofi na akitoka alikua anabeba pochi.

Duuhhh!!
 
Muda si mrefu atasema alikuwa anampima TEZI DUME. (mambo ya Amber Rose & Kanye West)
 
Hahaaa kuna hii nyimbo mpya ya shilole sijui inaitwaje vile, ila video yake inapigwa sana EATV.

Anampiga majungu kwa mbaali kijana wake wa zamani kua alimzaba makofi na akitoka alikua anabeba pochi.

Duuhhh!!
Hiyo nyimbo aliimba wakiwa bado wako vizuri na Nuh mziwanda..Na kwa kiasi kikubwa kamsifia sio kumponda
 
kwahiyo kubeba pochi kwa mahaba yake imegeuka ujinga wake, mademu bhana samtymez
 
Hiyo nyimbo aliimba wakiwa bado wako vizuri na Nuh mziwanda..Na kwa kiasi kikubwa kamsifia sio kumponda
mkuu mimi naona pale alikua na lengo la kumdhalilisha kijana wa watu, maana hata kama watu walisema hivyo, kwenda kuimba kwenye nyimbo unataka yaendelee kuongelewa, naona kama anatumia sarcasm flani hivi (kutumia maneno kama unamfagilia mtu ila kumbe actually unamdhalilisha)
 
mimi sio shabiki wa linah, ila lina ana afadhali sana, usimfananishe na shilole
Afadhali ya kufanya remix za watu? Kuna ile remix ya Oliver twist ya d'banj dahhhh lina alijua kunichefua na ule wimbo shenzake
 
Hahaaa kuna hii nyimbo mpya ya shilole sijui inaitwaje vile, ila video yake inapigwa sana EATV.

Anampiga majungu kwa mbaali kijana wake wa zamani kua alimzaba makofi na akitoka alikua anabeba pochi.

Duuhhh!!
Nimekumbuka ile hadithi ya sungura mjanja ya SIZITAKI MBICHI HIZI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom