miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
sina uhakika ila embu tusubiri tuone kama utakufa
Mzee nakuona ona nyuma ya "kemera" nowadays, unataka ingia kwenye "tasnia"yetu? Kwanza nitwangie simu, kitambo sana baba swalehe! TehKama ni hivyo basi mi nishakufa
RIPHizi stori nimekuwa nikizisikia tangu primary. Zina ukweli wowote au stori za vijiweni. Nisaidieni wazee manake leo nimejisahau. Niliweka asali kwenye mkate nikagonga na chao iliyochanganywa na limao. Si unajua nina mafua.