Baada ya enzi ya manabii na mitume kufikia hatma yao!! Bw. Athuman radhi za Moula zimfikie..kwa kuwa ndiye aliyekuwa mrithi wao " hivyo Athumani alikuwa mtu mwema,mkarimu,Mstahamilivu na Mwajibikaji na mwenye sifa za utu " Hadi kufikia utukufu huo ndipo ikapigwa methali hiyo!!Wanajanvi,
Hebu leo nijuzeni.
Neno Mungu si Athumani, ni msemo wa tangu na tangu.
Naomba kujua, huyu Athumani ni nani, asili yake wapi hata atumiwe katika heshima ya Mwenyezi?
Bwana Athumani alikuwa anaishi wapi na ilikuwaje akawa mrithi wa manabii?Baada ya enzi ya manabii na mitume kufikia hatma yao!! Bw. Athuman radhi za Moula zimfikie..kwa kuwa ndiye aliyekuwa mrithi wao " hivyo Athumani alikuwa mtu mwema,mkarimu,Mstahamilivu na Mwajibikaji na mwenye sifa za utu " Hadi kufikia utukufu huo ndipo ikapigwa methali hiyo!!
Kwani bin Adam huwa anaishi wapi? Au sayari gani...Bwana Athumani alikuwa anaishi wapi na ilikuwaje akawa mrithi wa manabii?