Recent content by Uwimbombo na Ulindi

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kwa ujenzi huu wa Uwanja wa ndege Chato, Rais Magufuli anatukatisha tamaa "watu wake"

    Siungi mkono mkuu,ukiwa na rasilimali chache ni busara kuwekeza katika strategic areas let alone priorities!! Chato is not a strategic area by all means!!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Gari: Toyota Raum

    Mimi natumia Raum New Model kwa mwaka mmoja sasa na sijawahi kujutia maamuzi yangu ya kununua gari hiyo!! Ni gari nzuri kwa maana ya Space,Comfortability na Ulaji wa mafuta ni wa kawaida sana!!! Issue kwamba Mlango wake wa abiria ni kama wa daladala ni sala la mtazamo tu,kimsingi mimi hiyo ndiyo...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kodi za gari barabarani lisipoingiliwa vizuri linaweza kuwa janga kwa watu wengi

    Mkuu Sasa maana yake utaendelea kulipia hiyo gari siku za usoni?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusekelo awapa onyo CHADEMA

    Ha ha ha ha ha,nimekuelewa Sana mkuu
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Askofu Gwajima Mbezi Luis 25/09/2016

    Interesting
  6. U

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa wanaume wanaotimiza majukumu yao

    Daaaah nimekuelewa mkuu na shukrani za Dhati kwa Mleta Mada! Inatia Moyo na kuhamasisha Sana unapoona kumbe kuna mtu sehemu fulani anathamini kazi ambazo mababa tunafanya!! This thread has had my heart dance with Joy!!
  7. U

    JamiiForums Tanzania For sale Subaru 14Mil

    Weka details zaidi Mkuu such as Mileage,Year of Manufacture etc
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tatua tatizo la uume mdogo

    Nimekuelewa Sana Kiongozi,Sana tu!!!!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mchecheto wa mafanikio

    Daaaaaaah booooonge LA uzi,nimebaki mdomo wazi!!! Umenigusa Sana, nimekosea maeneo mengi sana na kupoteza pesa nyingi kwa sababu ya Mchecheto tu Wa Mafanikio Asante Sana Mkuu,Pamoja Sana!!! Ubarikiwe!!!!
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtanzania Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani

    Cool down Brah,Mvumilie tu
  11. U

    JamiiForums Tanzania Shukuru kama umepata mwenzi mwaminifu katika ndoa

    Ha ha ha hahah,nimecheka sana!!!!
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wabeba box wengi wamerudi na ndoto...

    Mungu siyo mungu!!! Yote Kheri!!!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha mada moto leo: Msigwa na Polepole wajadili Mada ya msaada wa MCC

    Hata mimi nilikuwa nataka kujua muda ambao kipindi kitarushwa hewani!!! Nadhani watu wengi hawasomi kwanza tarifa zao kabla ya kuzituma humu!!!!
Back
Top Bottom