Kipindi cha mada moto leo: Msigwa na Polepole wajadili Mada ya msaada wa MCC

Allyoki

JF-Expert Member
Mar 23, 2007
258
144
Leo kwenye kipindi cha mada moto live on Chanel ten Albert Kilalah atakuwa na Mh.Peter Msigwa na Humphrey Polepole wakizungumizia msaada wa MCC.
IMG-20160404-WA0004.jpg
 
Nikimwona pole pole nakosa hamu maana ni mnafiki 100%.Kipindi akiongea nabadilisha channel, hivi kaacha uzinzi?
 
Back
Top Bottom