Umeona were yaani ni wa kuhesabuAtoto, mko wachache sana wenye uelewa huo. Majority mmmhh!!!!!
[emoji817] [emoji817] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] heshima kwako ms atoto .... swali: je yatoka katika SAKAFU YA MOYO?Habari wanajamvi, poleni kwa shughuli za ujenzi wa familia na taifa kwa ujumla.
Narudia tena heshima kwao WANAUME.
hawa ni wale ambao wanatambua nafasi zao kama MWANAUME.
Nimekuwa nikiwaza, kama ningekuwa mwanaume,je ningeweza kufanya hayo wafanyayo? Hivi inakuja naturaly au inakuwaje!!
Mwanaume ni mpenzi wako, anakujali,anakusikiliza,unakuhudumia,anakuthamini na kukulinda.
Wote mnafanya kazi na inawezekana unamzidi kipato, lakini bado anakuhudumia kwa shida zako as if yeye hana zake. Akikwama yeye atahangaika hata kukopa kwa washkaji mambo yaende sawa.
Bado ukiwa na tatizo la kuhitaji ushauri, atakushauri kwa upendo, atakuvumilia na maswali yako ya kipuuzi puuzi, anakuelekeza kwa upendo.
Ni baba wa familia,anahangaika na kazi nyingi za kuhakikisha familia inasimama, ni MUME kwa mkewe na BABA kwa wanawe. Anahangaika na familia yake,ya mkewe na ndugu wengine pia.
MWANAUME hata akiwa rafiki yako wa kawaida tu, anakuwa rafiki mzuri sana.
Kwakweli mie mwanaume wa hivi namuheshimu na kumtii kupita maelezo,na kuchunga sana nisimkosee hata nikimkosea na kugundua nimemkosea basi nitajishusha na kumuomba msamaha wa dhati na kujichunga nisirudie kosa.
Heshima kwenu WANAUME, kwakweli mnatufaa na kuturahisishia maisha.
Hii haiwahusi wale waliogoma kuwa WANAUME.
Ahsante,
Na hongera kwako pia kwakuliona hilo maana wanawake wengine hata wafanyiwe mangapi hawajari kabsa zaidi ya kuwabeza na kuwadharau wanaume zao ambao kucha kutwa wanahangaika kwa ajili ya familia zao.
Japo kwa mwanaume kufanya hivo ni wajibu sio vibaya kumuonyesha unamkubali kwa jitihada zake inatia hamasa na kuona kumbe kuna mtu anatambua na kuheshimu juhudi zake,mambo yangekuwa hivi neno talaka lisingetokea duniani.
Yametoka moyoni kweliHabari wanajamvi, poleni kwa shughuli za ujenzi wa familia na taifa kwa ujumla.
Narudia tena heshima kwao WANAUME.
hawa ni wale ambao wanatambua nafasi zao kama MWANAUME.
Nimekuwa nikiwaza, kama ningekuwa mwanaume,je ningeweza kufanya hayo wafanyayo? Hivi inakuja naturaly au inakuwaje!!
Mwanaume ni mpenzi wako, anakujali,anakusikiliza,unakuhudumia,anakuthamini na kukulinda.
Wote mnafanya kazi na inawezekana unamzidi kipato, lakini bado anakuhudumia kwa shida zako as if yeye hana zake. Akikwama yeye atahangaika hata kukopa kwa washkaji mambo yaende sawa.
Bado ukiwa na tatizo la kuhitaji ushauri, atakushauri kwa upendo, atakuvumilia na maswali yako ya kipuuzi puuzi, anakuelekeza kwa upendo.
Ni baba wa familia,anahangaika na kazi nyingi za kuhakikisha familia inasimama, ni MUME kwa mkewe na BABA kwa wanawe. Anahangaika na familia yake,ya mkewe na ndugu wengine pia.
MWANAUME hata akiwa rafiki yako wa kawaida tu, anakuwa rafiki mzuri sana.
Kwakweli mie mwanaume wa hivi namuheshimu na kumtii kupita maelezo,na kuchunga sana nisimkosee hata nikimkosea na kugundua nimemkosea basi nitajishusha na kumuomba msamaha wa dhati na kujichunga nisirudie kosa.
Heshima kwenu WANAUME, kwakweli mnatufaa na kuturahisishia maisha.
Hii haiwahusi wale waliogoma kuwa WANAUME.
basi huyo sio mwanaume kamili....na ndio maana akasema haiwahusu wale waliogoma kuwa wanaume[emoji126] [emoji126]Cha ajabu hakuna mwanaume mjinga kiasi hicho akishapata anachokitafuta basi ata ji evaluate either akae na kukubali kuhudumia kwa hali na mali au ahamishie majeshi sehemu nyingine au akufanye kuwa defensive line akienda shambulia alafu akazidiwa lazzima arudi kwa ngome kujipanga
basi huyo sio mwanaume kamili....na ndio maana akasema haiwahusu wale waliogoma kuwa wanaume[emoji126] [emoji126]
hahahahahahahahaEnzi hizi za Mgufuli kila mtu anaona thamani hata ya elfu kumi
enzi za kusema 'laki sio pesa' naona zimepita....
mmh kungekua na sehem ya kutuma voice not...ingekua rahis kwangu kukutamkiaJina lako linatamkwaje
mmh kungekua na sehem ya kutuma voice not...ingekua rahis kwangu kukutamkia
Hongera sana atoto! wewe ni MWANAMKE maana kuna wanawake waliogoma kuwa WANAWAKE wanachukulia kufanya hayo ni UZOBA NA KUTAMBA KWA WENZIE 'nimemuweka mfukoni' wala hawatambui wanachofanyiwa!Habari wanajamvi, poleni kwa shughuli za ujenzi wa familia na taifa kwa ujumla.