dobo jadida
Member
- Feb 8, 2015
- 24
- 6
. ... Hahahaaa boxxxxxxx waludi bongo tu kuna maisha wakikomaa wanatusua tuu mwisho wa siku maisha hayagandi ... Jamani njoooni home!!!
Sasa na wewe Botswana na vetinary yako ungeenda kufanya nini? Kule huwa wanatafutwa watu wa Veterinary mkuu ndo maana jamaa unasema walikubania, lakini ukweli ni kwamba walishindwa wakuweke wapi maana vetinary kwa kule haina deal labda hapa Bongo!Hahaaa age. Inaelekea kibraaa.....jf bna! Ila wabonggo tunabaniana nakumbuka 2012 kuna gepu limetokea botswana kuhusu mambo ya wanyama (vetinary) washikaj wote walioko botswana nilipowachek no respond....anyway huu uzi umenikumbusha miaka hiyo
Ndugu zangu wawili wamesharudi nabanana nao hapa nyumbani kwangu,walichoambulia ni kengereza tu na stori za london hakuna la zaidi
Mungu siyo mungu!!! Yote Kheri!!!Kwanza elewa maisha yako popote na hakuna elimu kubwa kama kutembea ukiwa na malengo chanya. Ninachofahamu Watz tuna roho ya kwanini kwani hata uzi wako unaonyesha kabisa kuwa hauwatakii mafanikio isipokuwa wafeli maisha na kulingana na wewe ama uwazidi kimaisha. Kwa kifupi ni hivi hata mimi niite mbeba box lkn tayari nina mpango wa kupeleka mdogo wangu kusoma ng'ambo baada ya kupewa offer hiyo kupitia mwenyeji wangu na kuzamia kwangu aka kubeba box. Ninachokiomba kwa mungu ni afya na anilinde kufikisha malengo yangu, nikifanikiwa asante mungu nikikosa pia asante mungu na sitakata tamaa japo sijutii na naona nilichelewa.
Huyu dada kwa kweli amepambana na kifanikiwa.
Sasa na wewe Botswana na vetinary yako ungeenda kufanya nini? Kule huwa wanatafutwa watu wa Veterinary mkuu ndo maana jamaa unasema walikubania, lakini ukweli ni kwamba walishindwa wakuweke wapi maana vetinary kwa kule haina deal labda hapa Bongo!
Nashukuru umeliona hilo mkuu. Labda mleta mada atuambie aliishi nchi ngapi hadi aje na hiyo sweeping statementHuyu dada kwa kweli amepambana na kifanikiwa.
Hivi hata kama mtu kalosti kivyake, maisha yake, tatizo kubwa litakalofanya pilipili ya shamba imuwashe mtu ni lipi?Nashukuru umeliona hilo mkuu. Labda mleta mada atuambie aliishi nchi ngapi hadi aje na hiyo sweeping statement
Mkuu watu wanajua kufanya generalization sana tu.... Mimi nimesafiri nje Mara nyingi Na kuonana Na watanzania huko wanaishi vyema tu. Tatizo wengine wanataka pa kuongea kuputia wachache waliorudi wakiwa na hali ambayo sio nzuri kifedha. Wanadahau wengine wamelizwa na ndugu zao when they were sending money kujenga na hakuna kilichofanyika....Hivi hata kama mtu kalosti kivyake, maisha yake, tatizo kubwa litakalofanya pilipili ya shamba imuwashe mtu ni lipi?
Au ushambenga tu?
Wapo wamejaa tele nakutana nao kila siku huku mitaani.Hivi hakuna bongo hakuna waliofulia na hawajawahi kwenda ng'ambo? Je hakuna wabongo wabeba box? No wonder wachina wanauza karanga kuongeza kipato!