Mkutano wa Askofu Gwajima Mbezi Luis 25/09/2016

Mkutano wa Askofu Gwajima Mbezi Luis 25/09/2016

Huwaga natatizika sana kusikia Masanja mkandamizaji naye eti Muubiri...
Kuna njia nyingi sana za kujipatia kipato lakin sio kwa kumdhihaki Mola
Ndo hapo sasa nashindwaga kuelewa maana yake nn..afu mtu kama Frola...,ndoa yake haina ushuhuda wa ki kristo kabxa af eti ana hubiri.,wkt huo kaachana na mumeo tena kwa kumdharilisha...aaaagh!!!!
 
1474718995043.jpg
1474719000884.jpg
kweli kama ni mziki wanao hivi na fiesta wanao mziki mzito hivi????

[emoji344] [emoji344] mziki nimeukubali ni wa kibabe.
 
Ni Mbezi Sehemu gani?opposite na Shule ya Msingi kama unaenda Goba au ni wapi?
 
Hapa niko Mortuary naandaa kuleta Maiti ifufuliwe, nifanyie booking kabisa
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Kwa jins vyombo na speakers zilivyo Leo haalpatoshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom