Recent content by uwetu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Hii Ndoto inanisumbua Mwaka wa 12 Huu.

    Pole sana ndugu. Fanya kama ulivyo shauriwa na watumishi nawe utafunguliwa.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sarafu Yetu Tanzania

    Mmm
  3. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Heri wenye moyo safi maana wao watamuona Bwana.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Badili laini zako kwenda university kwa 4000 tu, mitandao yote

    Kwa Voda uni ni *149*42# kupata access ni lazima uwe laini iwe imeunganishwa kwanza. Vifurushi vyenyewe ni: 1. Tsh. 500 Mb 500 siku. 2. Tsh. 1500 dk 150 voda-voda + dk 15 mitandao yote. Data 1gb +1gb night kwa wiki.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Heko, si mchezo. Je, Mungu atasubiri wafike huko? Ujio wa kristo na mpinga kristo utakuwa haujatokea?
  6. U

    JamiiForums Tanzania Lectures: Jifunze English katika Thread hii Bure kabisa

    Big up
  7. U

    JamiiForums Tanzania Nyuzi bomba 2017 kutoka kila Jukwaa & JF man of the year

    Tutaonekana siku moja. Hongera kwa uchambuzi
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Mengi yamesemwa na mengi mno yanaonyesha uwepo wa Mungu. Hatakama nitataja baadhi ya mambo na matukio fulani sitaweza kuyamaliza yote. Kwangu mimi utofauti wa kila kiumbe ki muonekano, maumbile, ukubwa, kimatumizi, kuongezeka kwao, kuishi, kukuwa, kuzeeka na kuonja mauti kwa viumbe hawa ni...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeulizwa swali na mke wangu nimeshindwa kulijibu

    Nyonya ndugu. Wanawake huwa wanapiga stori hizo Sana. Silazima awe amenyonywa na mtu bali stories Za mtaani MKUU.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

    Nzuri sana
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakulya Hadi Leo Wanapigana Vita?

    Basi wao ni watu wanaopenda kupigana.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu shahada ya masomo ya Geography na History(DUCE). Natafuta nafasi ya kazi shule binafsi

    Tuma barua ya maombi Fedha boys wanaajiri kwa sasa. Pia sambaza barua za maombi katika shule zingine za private
  13. U

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatongoza achaneni kabisa na haya maswali

    Wanawake pia huuliza, unafanyakazi ofisi gani?
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Humphrey Makundi aliyeripotiwa kupotea, apatikana akiwa amefariki na kuzikwa

    Usi assume, tusubiri majibu ya uchunguzi mkuu.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Pengo la Prof. Muhongo laanza kuonekana. Mgao wa umeme umeanza kurudi kwa kasi

    Really? Sio kwamba kunahitilafu kule kinyerezi kama tulivyo ambiwa?
Back
Top Bottom