Nimehitimu shahada ya masomo ya Geography na History(DUCE). Natafuta nafasi ya kazi shule binafsi


chrlsstphn

chrlsstphn

Member
Joined
Nov 18, 2017
Messages
6
Likes
1
Points
5
chrlsstphn

chrlsstphn

Member
Joined Nov 18, 2017
6 1 5
Habari ya jumapili wapendwa katika bwana...!

Nimehitimu shahada ya masomo ya Geography na History (DUCE) mwaka huu. Natafuta nafasi ya kazi shule yoyote binafsi/private, Tuition centers au hata makampuni binafsi.

Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ule Tanzania, ila kama kazi itapatikana mkoa wa Mwanza basi itapendeza zaidi.

Natanguliza shukrani zangu za dhati, nikitumaini kutapata msaada kutoka kwenu wanajamii....Ahsante sana
 
SHOOyaKIBABE

SHOOyaKIBABE

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
1,751
Likes
808
Points
280
SHOOyaKIBABE

SHOOyaKIBABE

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
1,751 808 280
Tuma barua ya maombi Fedha boys wanaajiri kwa sasa. Pia sambaza barua za maombi katika shule zingine za private
Nimeona kama wanataka wenye experience miaka kadhaa, lakini you never know, ajaribu tu
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
Ivi waliohitimu masomo ya Sanaa nao ni wasomi?
 

Forum statistics

Threads 1,239,210
Members 476,441
Posts 29,345,826