Kwanini Wakulya Hadi Leo Wanapigana Vita?

B

Boniphace Kichonge

Verified Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
1,105
Likes
1,345
Points
280
B

Boniphace Kichonge

Verified Member
Joined Jul 31, 2017
1,105 1,345 280
Wadau wa JF

Kwa miaka mingi sana vyombo vya habari vimeripoti mapigano ya watu wa jamii ya wakurya. Mapigano hayo yameacha watu wakijeruhiwa,wakipoteza maisha na kuharibu mali nyingi.

Mapigano haya yanahusisha watu wa kabila moja tu la WAKURYA.Ukiwauliza baadhi yao wanadai tatizo ni ardhi lakini sio kweli pande hizo kiuhalisia hakuna tatizo la ardhi.Aidha kama tatizo ni ardhi kwanini jamii jirani hazipo kwenye mapigano k.m wajaluo,wajita,wasukuma n.kk. Mkoani Kilimanjaro lipo tatizo la ardhi mbona hatusikii mapigano ya aina hiyo baina ya Wachaga?

Kwa wenye ufahamu watujuze kwanini watu hawa wa Kabila Moja tu WAKURYA katika karne hii bado wanaingia katika mapigano wao kwa wao?
Karibuni.
 
Jabman

Jabman

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Messages
1,017
Likes
1,309
Points
280
Age
41
Jabman

Jabman

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2016
1,017 1,309 280
Hata wamarekani wanapigana hadi Leo huko Pakistan na wako mbioni kupigana na kim
 
NaughtyGuy

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Messages
1,167
Likes
1,218
Points
280
NaughtyGuy

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2017
1,167 1,218 280
Si wajua baba yetu ni PETRO maana ujasiri ule wa kumtaka mtu sikio mbele ya YESU ni mkurya tu ndio anao.
Anyway ni kama mchaga na pesa...so kupigana ni Jadi yetu kuonyesha uanaume
 
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,136
Likes
5,182
Points
280
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,136 5,182 280
Sio wakulya ni wakurya.

Wakurya ni kabila ambalo limegawanyika katika koo ndogo kama vile Watimbaru, wairege, Wanyamongo, wakira, waanchari, walenchoka (wagumbe), wakenye, wasweta, wamera, wanyabasi n.k.

Koo hizi zinapopakana huwa hasimu kutokana na migogoro ya mipaka ya ardhi mfano Wakira na waanchari, lakini pia wizi wa mifugo mfano wairege na wanyabasi vijana huenda koo nyingine na kuswaga mifugo hali ambayo hupelekea mapigano, kabila la wakurya limesambaaa mpaka Kenya hivyo ukiona koo fulani inapigana na nyingine na upande wa Kenya unakuwa hivyo hivyo, ingawaje mambo haya yamepungua na ni kama yanaisha. Lakini pia wakurya hupigana na makabila jirani kama vile Wamaasai na wajaluo.
 
U

uwetu

Member
Joined
Aug 6, 2017
Messages
67
Likes
32
Points
25
U

uwetu

Member
Joined Aug 6, 2017
67 32 25

Basi wao ni watu wanaopenda kupigana.
 
gimanini

gimanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
1,182
Likes
764
Points
280
gimanini

gimanini

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
1,182 764 280
Tatizo ni kwamba sisi wakurya hatukuwekeza ktk elimu kama walivyo wachaga ambao nao wana koo nyingi.muda mwingi tuliwekeza kwenye ufugaji hali iliyopelekea kila mwanajamii kubuni ni njia ipi aitumie ili mifugo yake ishibe ikiwa ni pamoja na kuvamia na kuchungisha ngombe ktk mashamba ya watu.lakini pia koo hizi zimekuwa hasimu tangu miaka mingi iliyopita kutokana na kila koo ikitaka kuwa kubwa kiutawala kuliko koo nyingine.mfano koo ya wairegi ndio koo kubwa kuliko zote ikifuatiwa na watimbaru.kila koo inataka kujiweka juu ya nyingine.
Mpaka Leo hizi koo hazielewani.pia wazee wa mila wanajaribu kuweka nguvu kubwa ya uchawi wa kimila.
 
Sokoro waito

Sokoro waito

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Messages
2,163
Likes
2,276
Points
280
Sokoro waito

Sokoro waito

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2014
2,163 2,276 280
Kila kabila lina asili yenye nguvu kwao: kwa mfano;

wakurya= watu wa vita, uongozi na elimu vita.
Wajita=elimu na uvuvi.
wachaga=ubinafsi, biashara na elimu biashara.
waha=uchawi na biashara.
Wahaya=elimu zingine na elimu sheria(ila waoga sana hawafai kuishi mipakani, watusi na wahutu wanazamia huko kwao na kuwapiga mkwara kila siku)
wajaluo=elimu na ubinafsi.
Wasukuma=kilimo, uchawi na elimu kiasi(ila wana submissiveness character).
Wamasai=wapenda tamaduni zao, siyo wepesi wakubadilika pia wanasoma siku hizi.

Kurya people are Warlike people, hata serikali ifanyeje haiwezi kuwabadilisha asili yao.

Watakachoweza kufanya ni kuwasuluhisha na kuwapoza tu lakini wakurya ni watu wenye asili ya vita hata kama wamesoma sana na kuabudu lakini hawapendi kuonewa wala kuvumilia uonevu kwa mda mrefu.

Bila shaka nitakuwa nimekujibu.
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,894
Likes
7,574
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,894 7,574 280
Wadau wa JF
Kwa miaka mingi sana vyombo vya habari vimeripoti mapigano ya watu wa jamii ya wakurya. Mapigano hayo yameacha watu wakijeruhiwa,wakipoteza maisha na kuharibu mali nyingi.Mapigano haya yanahusisha watu wa kabila moja tu la WAKURYA.Ukiwauliza baadhi yao wanadai tatizo ni ardhi lakini sio kweli pande hizo kiuhalisia hakuna tatizo la ardhi.Aidha kama tatizo ni ardhi kwanini jamii jirani hazipo kwenye mapigano k.m wajaluo,wajita,wasukuma n.kk. Mkoani Kilimanjaro lipo tatizo la ardhi mbona hatusikii mapigano ya aina hiyo baina ya Wachaga?
Kwa wenye ufahamu watujuze kwanini watu hawa wa Kabila Moja tu WAKURYA katika karne hii bado wanaingia katika mapigano wao kwa wao?
Karibuni.
Mtu ushaambiwa kauli mbiu ni Vita ni Vita Mura, sasa unategemea nini pale ujikute mtu kati
 
GAS STATE

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,029
Likes
484
Points
180
GAS STATE

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,029 484 180
Wadau wa JF

Kwa miaka mingi sana vyombo vya habari vimeripoti mapigano ya watu wa jamii ya wakurya. Mapigano hayo yameacha watu wakijeruhiwa,wakipoteza maisha na kuharibu mali nyingi.

Mapigano haya yanahusisha watu wa kabila moja tu la WAKURYA.Ukiwauliza baadhi yao wanadai tatizo ni ardhi lakini sio kweli pande hizo kiuhalisia hakuna tatizo la ardhi.Aidha kama tatizo ni ardhi kwanini jamii jirani hazipo kwenye mapigano k.m wajaluo,wajita,wasukuma n.kk. Mkoani Kilimanjaro lipo tatizo la ardhi mbona hatusikii mapigano ya aina hiyo baina ya Wachaga?

Kwa wenye ufahamu watujuze kwanini watu hawa wa Kabila Moja tu WAKURYA katika karne hii bado wanaingia katika mapigano wao kwa wao?
Karibuni.
JIBU NI MOJA TU KURYA NI MIONGON MWA MAKABILA UNCVLISED, UNCRUMCISED BELIVING IN PRIMITIVE WAYS OF WEALTH ACCUMULATION ie utumie ubabe ili uogopwe na kuharibu mali za wenzio. THEY BELIEVE NO OTHER WAYS OUT OF MAPGANO HELL TO THEM. NAMADEM ZAO BILA KIPGO HUJAMPENDA. Hahaaa kurya aisee tembeeni mbadilike.
 
N

nyantella

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
896
Likes
31
Points
45
N

nyantella

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
896 31 45

wee murisya kama hii UNCRUMCISED yako una maanisha "CIRCUMCISED" ukome kabisa wakurya koo zoote ulizoambiwa hapo juu tuna tahiriwa kwa kisu tena bila ganzi so watch your language kenge wee! kwanza shule yenyewe hujaenda tafuta watani zako mambo yetu hayakuhusu nyambafu we!
 
N

nyantella

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
896
Likes
31
Points
45
N

nyantella

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
896 31 45
JIBU NI MOJA TU KURYA NI MIONGON MWA MAKABILA UNCVLISED, UNCRUMCISED BELIVING IN PRIMITIVE WAYS OF WEALTH ACCUMULATION ie utumie ubabe ili uogopwe na kuharibu mali za wenzio. THEY BELIEVE NO OTHER WAYS OUT OF MAPGANO HELL TO THEM. NAMADEM ZAO BILA KIPGO HUJAMPENDA. Hahaaa kurya aisee tembeeni mbadilike.
wee murisya kama hii UNCRUMCISED yako una maanisha "UNCIRCUMCISED" ukome kabisa wakurya koo zoote ulizoambiwa hapo juu tuna tahiriwa kwa kisu tena bila ganzi so watch your language kenge wee! kwanza shule yenyewe hujaenda tafuta watani zako mambo yetu hayakuhusu nyambafu we!
 
T

Tata

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2009
Messages
5,284
Likes
1,076
Points
280
T

Tata

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2009
5,284 1,076 280
Hakuna kabila la WAKULYA Tanzania. Fanya utafiti zaidi.
 
Forum statistics

Threads 1,236,965
Members 475,327
Posts 29,274,893