Recent content by Usoka.one

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nchi hii itakombolewa na wanaomlilia "MUNGU TU"

    Ni kweli maana madhabahu nyingi zinazotumiwa na chama kubwa ni za shwetwani wakisaidiana na lile likoroboi,ambalo ukiuliza maana yake unaambiwa ni utamaduni wetu.Watu wanapiga Yeriko nchi nzima na kuingiza watu maagano mazito.Hapa tunatakiwa watu tutakaomuomba Mungu haswa tena toba ya...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Wanaoua viongozi Pwani huacha ujumbe kuwa wanalipa dhidi ya uonevu wa serikali na vyombo vya dola

    Hadi BBC watuletee habari kamilifu waandishi wetu wanasubiri habari za kuletewa.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea msaada wa Malori 2 ya kuzolea taka kutoka ubalozi wa Kuwait

    Kwa kweli misaada mingine ni dharau kwa anayepewa!!
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ningeamua ningeamuru Bulaya na Halima wakamatwe huko Moshi waletwe hapa kwa usafiri wowote

    Hivi wabunge mkoa wa Dodoma wana shida gani!!?Badala ya kupambana na maendeleo ya wananchi wao wanapambana na wapinzani wakati wananchi wao wanakula viwavi.Huu ulevi wa vyeo umevuruga sana huu mkoa.Hivi vyeo ni vya muda tu hata mzee Malechela anajua.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya wanyama

    Kule kuonyesha kujali ulichopewa Mungu anakuongezea na kukujaza utajiri.Atakupa hata binadamu uwafuge
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tutafakari juu ya gharama hizi za Harusi

    Ndo maana wale wengine wamefanya rambirambi mradi.Sijui kwa nini hawaoni hili wamkamate mwenyekiti wamkamate mwenyekiti wa kamati ya harusi halafu hela ziende kwenye miradi
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia hizi, bora house girl tuwatafune sie wakina baba!

    Kwa jinsi ulivyoandika hapo sidhani hata kama mshahara ulikuwa unamlipa!!pia punguza dharau hao ni watoto wetu,ni makosa kidogo yamewafanya hivyo.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbagala Kibiti haiko poa sana

    Cc. haijaharibu barabara
  9. U

    JamiiForums Tanzania Hela natafuta mwenyewe, sielewi kwanini serikali inajaribu kunipangia matumizi

    Pengine walidhani ni rambirambi,ungejikuta central.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ray Kigosi alalama wasanii kupuuzwa na CCM na walikuwa wote kwenye kampeni na kulala sehemu chafu

    Kutokana na wananchi wenye hasira kali kuna mtu atapigwa barn hapa!!Maana kuna saa yatatumika mtusi kutokana na hasira juu ya chama na juu ya wasanii!!.Mungu nishike mkono nisitoe tusi kwa huyu kijana aliyejichibua
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi kuhusu askari aliyefyatua risasi hewani mbele ya Waziri wa zamani

    Maskini Tanganyika unaelekea wapi,naona kama unapotea Tanganyika,rudi rudi!!Ulifunga ndoa na amani leo unafunga amani na vitu vyenye ncha kali!!Na watu wasio na huruma
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tuliumwa na nyoka Kagera, kwanini hatukushtuka tulipoona jani Arusha?

    Kwenye maisha yangu nilifundishwa na wazee ukitumia sadaka ya kanisani au msikiti isivyo unaweza kuwa kichaa au kizazi chako kitakuja kuwa na matatizo.Rambirambi ndo kabisa waliniambia yatakupata mabaya zaidi utakuwa kichaa au mtu asiyeeeleka katika jamii,na utakuwa na roho ya kukataliwa na...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ujenzi atofautiana na meneja wa Tanroads kuhusu Bomoaboama Kimara

    Hosptal ya Neema imepigwa (Doctor Koka)imeniuma sana ingawa sio yangu.Yule doctor ametufaa sana na watoto wetu.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Sauti imenijia na kuniambia nimuombee msamaha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hilo jina lako ndo litafanya hata huu ujumbe tuukatae(Askari muoga)Na sasa subiri askari jasiri wakushukie hapa sasa hivi.Sala ya toba lazima utubu kwa kinywa chako la sivyo hukumu inakupasa!!
Back
Top Bottom