Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Muda mfupi uliopita nikiwa nakula chakula cha mchana nikasikia sauti moyoni nije JF kumuombea msamaha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
Najua vyombo vya habari havitoi taarifa za Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Leo mimi kiumbe dhaifu nakuja kwenu wana habari wote na vyombo vya habari mumsamehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, mtengue zuio la kutotangaza habari zake, kwa heshima na adabu nawaomba mumsamehe Mkuu wa mkoa wa DSM inatosha inatosha inatosha, naombeni kaeni chini mumsamehe Mkuu wa mkoa;
1:Leo anashindwa kutoa amasa kwa Wana DSM
2:Anataka kuendelea kufikisha ujembe kwa Wana DSM
3:Anataka kuhamasisha vijana wa DSM
4:Anataka kuongea na Wana DSM
Lakini sauti aito sambaa kama zamani, wananchi awatosikia kama zamani nawaomba mumsamehe inatosha inatosha. Mungu anatufundisha upendo, Mungu anatufundisha msamaha. Wote sisi tunahitaji huruma ya Mungu, je kama sisi atuhurumiae je tunastahili kuhurumiwa, kama sisi atusameane je tunastahili kusamehewa?