Lakin kama hakuna umuhimu wa kuongea kiingereza kwanini afanye hivyo? Na kiswahili pia ni lugha jamani. Mi naona si mbaya,kama anaitangaza lugha fresh tu
Na mimi nitoe mchango wangu.
Flat roof gharama yake ipo chini sababu ya materials. Lakin pia zipo za aina nyingi kulingana na muonekano ambapo unaweza jikuta unarud kwenye gharama zile zile au hata kuzidi.
Mfano,wapo wanaozungushia kwa tofali na wengine kuacha wazi. Je wewe wapenda ipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.