Awowo Apewe
Member
- Jun 5, 2019
- 72
- 89
Kama unajijua wew ni mwanamke mzuri na unavutia basi wikiend hii inaweza kuwa nzuri kwako ni Pm tukutane tule bata....
NB:Ninahitaji faraja zaidi.
NB:Ninahitaji faraja zaidi.
Jamani joanahUngeweka list ya unaoprefer awe mmoja wapo ya wala bata ili iwe rahisi kuchagua
Hivi kwanini ulinifanyia vile mpendwa....?Nimefanyaje jamani troublemaker
Hivi kwanini ulinifanyia vile mpendwa....?
Nililala Dom wiki 2 zilizopita. Kiasi flani wamejitahidi maeneo ya kula maisha ingawa huwezi kulinganisha na Dar/Arusha.
Kula maisha mkuu...Chamsingi usikae mbali na PM yako TOTOZ zitakufata tu
Naunga mkono hoja kwa Dar. Arusha pia iko vizurKWENYE mambo ya Goodtimes, daslama haijawah kuwa na mpinzani....AMINI KWAMBA