Hahaaa. Jamani best. LolKhaaa[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
Sometimes inakuwa mwanamke hajamfeel mtongozaji kabisa ..... So ili usipate majibu yakukuudhi.... Huwa tunasema.... Asante kwa kunipenda baby....Kuna dada mmoja namfukuzia kishenzi lakini kila nikirusha kamba zangu naambiwa ASANTE kwa Kunipendaa...
Daaaaah huwa inakera kiasi kwamba hadi inaboa asa kwa hiyo Asante nimekupa nini?
Funguka kama ushawahi kuexperience hiloo na mbinu za kujikwamua juu ya hilo?
Upo sahihi sanaaaaaHana hisia na wewe
Kamba inayoeleweka kwa sasa ni pesa, zingine tunaambulia kuambiwa asante kwa kunipenda..teh teh!!Hahaaaa. Lol
Inategemea na aina ya kamba unazozirusha Mkuu huenda ikawa kamba zako zinaendana kabisa na hiyo ahsante.
Huo msemo wanaume tunautumia kipindi umekosa wasichana wazuri matokeo yake unachagua yeyote kupooza joto la rungu!.Ni kweli ila siyo kwa kamba zangu,ukiona mpaka nimekuja kuyatoa ya moyoni humu inabd uelewe kuwa Simba akikosaga nyama anakula majani.......
Kuna dada mmoja namfukuzia kishenzi lakini kila nikirusha kamba zangu naambiwa ASANTE kwa Kunipendaa...
Daaaaah huwa inakera kiasi kwamba hadi inaboa asa kwa hiyo Asante nimekupa nini?
Funguka kama ushawahi kuexperience hiloo na mbinu za kujikwamua juu ya hilo?
Deleted member? 🙄[emoji23][emoji23][emoji23]