Plot4Sale KIWANJA CHENYE NYUMBA KINAUZWA MADALE BEI NAFUU

kakamgeni

JF-Expert Member
Feb 1, 2018
241
201
Asalaam aleikum ndugu zangu wa jukwaa hili mahususi, bila shaka mtakuwa mnaendelea vizuri na mapumziko ya mwisho wa wiki.

Basi ningependa ku-share nanyi biashara hii ambayo iko wazi na iliyonyooka kama rula. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Nyumba na kiwanja viko umbali wa mita 70 tu kutoka kituo cha bus cha Madale mwisho. Kwa wale wenyeji bila shaka mtakuwa mmeshaelewa nachozungumza.

Upande wa mbele una jumla ya miguu 29, wakati upande wa kulia miguu 25, kushoto 20 na nyuma 23...Huduma zote za msingi zipo kama vile maji, umeme, maduka ya vyakula na bidhaa sambamba na huduma za kipesa.

Kiwanja kina nyaraka zote kutoka serikali za mtaa na kinatambulika hata na majirani hakina mgogoro wowote ule. Barabara ya gari inafika mpaka kiwanjani. Nimeambatanisha na picha zake. Bei Ni 18 Milioni Mazungumzo yapo.

Contact : +255 742 15 61 17
IMG_20190717_162401_8.jpeg
IMG_20190717_162432_2.jpeg
IMG_20190717_162627_1.jpeg
IMG_20190717_162445_8.jpeg
IMG_20190717_162352_2.jpeg
IMG_20190717_162356_7.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom