Recent content by umuhiri marato

  1. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dictionary hii

    Ziko poa
  2. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania DC amfukuza kazi Mganga wa zamu kwa uzembe kazini baada ya kukataa kumtibu Mtoto wa miezi 6

    ndg ww unatetea uozo, udaktari ni wito bora kama hawez asepe kuliko kuacha watu wanapoteza maisha kwa uzembe
  3. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Shein aendelea kuzindua miradi

    yy aendelee tu maana ameamua kung,ang,ania madarakani utafikiri waliumbwa wawe watawala peke yao?
  4. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania Kipi utakikumbuka toka kwa waziri mkuu mstaafu Mr Mizengo Kayanza Pinda?

    mhhhh achen ale mafao yake, ameutua mzigo kwa mh. Majaliwa
  5. umuhiri marato

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manufaa na madhara ya sinema za ngono

    Toroka bro huko hapakufai, muombe Mungu akusaidie ushinde hilo jaribu
  6. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

    Maswali ya interview hayatabiriki
  7. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania Kufungua kampuni ya usafi

    Wazo zuri, kila la kheri kija na
  8. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kujiajiri mwenyewe kwa pesa kidogo tu!

    Vizuri
  9. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania Employment Opprotunity, TRA; Deadline 20/10/2015

    Hizo tayari zina wenyewe, labda tutimize tu wajibu kuomba
  10. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Peco Company

    Asante kwa taarifa
  11. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania Lowassa alishaanza kwenda makanisani kuomba kura, Juma Duni ole wako uje msikitini

    Watanzania elimu hatuna, mtu unamsikia 'hapa kazi tu' na wakati huo akiamka ni kijiwezi stori mpaka jua linazama, rais hatokuletea pesa ukatatua matatizo yako
  12. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Mke wa Magufuli unatia shaka

    Mhhhhhh, mm napita tu
  13. umuhiri marato

    JamiiForums Tanzania Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

    Jamaa wako poa
Back
Top Bottom