Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Naambiwa hawahitaji CV, ila nikiingiza link inakuja kupitia zoom na inanitaka niapload CV...Msaada tafadhali
 
Hata mimi nimefanya online test jana bado nasubiri kuitwa kwenye interview kama nitafaulu hyo test
 
Ni pm namba yako nikutumie maelekezo pamoja na link ambayo haihitaji cv mwisho ni leo saa tisa kufanya test
 
Aisee hawa jamaa nilikuwa nawachukilia poa..ila jana nimeamini.wamejipanga
 
mi nilifanya test online wakaniita interview bt kutokana na ratba ya chuo nikashidwa hudhuria nikiaply tena wananambia tayari nifanye ili nami nikafanye hiyo interview

ufungue account nyingine... au tumia email account ambayo hujawah kufanyia test zao dr
 
Vipi ulifanikiwa kuingia huko? waambie wabadili system ya ununuzi wa vocha zao na gharama wapunguze
 
tushirikishe na cc sasa.umegundua nin kuwahusu?

Hawa jamaa kwanza nilikuwa nahisi hawana ofisi..ila nilichaguliwa kwenye interview isamilo pale ofisi zao nikakuta ndinga kama 8 hivi double cabin nyeupe mpyaa zina chata ya m-power..wakatupa utaratibu mzuri tu na academy itakavyo kuwa..na endapo ukifanikiwa kuchaguliwa incentives zake.
 
kuona ndinga tu tayari ukadata mkuu?mbona wizara ya elimu ya jamhuri wa muungano wa tanzania ina ndinga za maana tu lakini ndiyo wizara inayoongoza kwa kuwa na magumashi ktk kuwalipa watumishi wake?
 
kuona ndinga tu tayari ukadata mkuu?mbona wizara ya elimu ya jamhuri wa muungano wa tanzania ina ndinga za maana tu lakini ndiyo wizara inayoongoza kwa kuwa na magumashi ktk kuwalipa watumishi wake?

Fanya research vizuri..wizara ya elimu haiwalipi mshahara walimu wala.wafanya kazi wa wizara..hayo ni majukumu ya Hazina..by then kuwa na accessories kama magari inashiria kuna vitendea kazi..
 
Unatakiwa upate marks ngapi kwenye online test ili wakuite kwenye interview ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom