britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,165
- 47,868
Sawa, toeni vigezo vyote. Iteni watu waliokidhi vigezo tu, wasiokidhi waacheni. Nahisi kuna vigezo vingne mnavyotumia ambavyo havipo kwenye maelezo yenu
mkuu vigezo vyao vilikuwaje mbona hatujaelewa? Au Si hivo hapo juu?