Jamani Mke wa Magufuli mbona haonekani kwenye Campaign kama ilivyokua kwa Mama Salma, Mama Anna Mkapa na Mama Regina Lowassa. Kuna nini hapa katikati.
Kwani Salma hakuwa mwalimu..??Yuko kazini, au ulikua hujui kuwa ni mwalimu, Regina ni mpiga dili ndio maana anajijengea mazingira mazuri.
Acheni fitina jf mkoje siku hizi
Yuko shule ya msingi Mbuyuni analitumikia Taifa...Anawafundisha watoto...
Kipi bora...Kukaa shuleni na kuwafundisha watoto wetu ama kuzunguka mikoani kutafuta kura?...
pengine hajapewa jukumu lolote na ccm na yeye sio mtu kimbelembele, pengine anajijua sio mtu hodari kwa majukwaa anawaachia wengine. pengine suala la urais mumewe sio suala la kufa kupona kwa familia yake mungu akipenda itakua. huwezi kumlinganisha na mke wa mtu ambaye amekua na ndoto ya ya kua rais kwa zaidi ya miaka 20. ndoto ilipoanza wengi wanaomshabikia walikua hawajazaliwa au walikua wananyonya.Jamani Mke wa Magufuli mbona haonekani kwenye Campaign kama ilivyokua kwa Mama Salma, Mama Anna Mkapa na Mama Regina Lowassa. Kuna nini hapa katikati.