Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Nenda na pen na kikaratasi cha rough work ya hesabu maana hawatoi pale ull just be given a laptop u log in kwa email yako utapewa maelekezo afu mnaanza test
Ukipita hapo kwa hyo first interview ya kupiga test kwenye individual na group ni vitu gani wanaangalia
 
Group participation yako na teamwork maana mnapewa challenges 8 mnatakiwa kupriotize 3
 
Maswali ya interview ni ..1.challenge gani ulishaziface maishani na uli over come vp?
2.ulishadiss agree na mtu?na kwa nn? Na solution uliipataga
 
Mnapiga test nyingine sio ileile si session yetu tulikuwa 16 wakala vichwa 6 kama BSS tukabaki 10 tukaendelea na group zen individual interviews

Yaani its true ni kama bss, inshaalah tusubiri walisema ndani ya wiki mbili watakua wametu email
 
Malipo yakoje kaka, na mkiwa training mnalipwa?

Training hulipwi chochote.... training ina aanza saa 2 na nusu asubui ina isha 11 na nusu jioni. Wana ajiri 30- 35 employees per intake. Hawana muda na ulicho soma chuo so long as you want the job. Be ready kufanya kazi yoyote watakayo kupangia wao bila kujali umesomea nn... probabtion kipindi chetu ilikua 450,000/- sija jua kwa sasa. Kazi zao ni rural based jiandae kutembelea vijiji vingi tu . Na mengine, changamoto zaku tosha tu ... ndio ajira mwisho wa siku.
 
Naambiwa hawahitaji CV, ila nikiingiza link inakuja kupitia zoom na inanitaka niapload CV...Msaada tafadhali

Apply kupitia link yao na sio zoomtanzania. Huwa kuna link wana toa kwenye job discription.
 
Kweli ni kwamba watu wengi wanao enda training huwa wana pagawa na jengo la m power... watu wana jisahau kua kuna maisha mapya utakayo yaanza ukisha pangiwa mkoa tofauti sasa huko ndio utakutana na na changamoto zakila namna... vijiji vyote ni vyako... kama wewe ni lele mama hii kazi itakua ngumu kwako.. haina ubishoo wala u sister duu, narudia tena utakutana na changamoto kibao.... kuna maisha tofauti sana ukisha toka training be prepared.... ni kampuni nzuri kwa wale wenye vyeo kama junior, seniors ,coordinators, team leaders na mameneja. Wengi wanao maliza training huwa ni Base ambao pay yao huwa ni kati ya 450 adi 500 take home..... wapo wanao fanya kazi mwezi wana aacha wapo wanao komaa mpaka kieleweke plan zao ni kua na wafanyakazi si chini ya 500 kufikia december.
 
Duuuuuuhhh ni hatar so kumbe even after training kuna mchujo!!??
 
Duuuuuuhhh ni hatar so kumbe even after training kuna mchujo!!??

Ndio kwenye training kuna mchujo mnaweza kuingia 70 au 80 waka pata kazi watu 30 .... kuingia kwenye training sio guarantee ya wewe kupata kazi.
 
Wameshajibu kwa waliofanikiwa kufanya interview check ur emails
 
Wameshajibu kwa waliofanikiwa kufanya interview check ur emails

Tumeona.... Trh 9 arusha cjui hata pa Kufikia na ugeni huu, waliotangulia tusaidieni unafuu wa mahali pa kuishi kwa huo muda
 
Hawa M-POWER wanaleta uhuni sasa....gharama za ughaibuni nani atalipa....wamenitumia email lakini siwezi kwenda...bora nibaki town na kuendelea na kibarua changu ambacho ni cha uhakika kuliko ajira yao uchwara
 
Gharama za ughaibuni unamaanisha nin mkuu
 
Walioko Chuga ndo wanaadvantage tunaotokea Dar n Mwanza nadhani mtu kama unaenda inabidi ujisacrifice
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom