umuhiri marato
Member
- May 8, 2014
- 68
- 5
Toroka bro huko hapakufai, muombe Mungu akusaidie ushinde hilo jaribu
Jukwaa linaitwa MMU Haya mahaba peleka jukwaa la siasa.Mkuu kwa sasa tuko bize na harakati za kuitoa CCM madarakani!!! Haya mambo ya kijinga kwa sasa hayana maana subiri mpaka Lowassa atapoapishwa ndio ulete mada kama hizi hapa jf!!! Kaa relax, na umchague lowassa na sio kujadili maswala kama haya!!!
sheria za nchi yetu haikatazi uwepo wa adult site... ila wanachofanya ni kuweka maudhui na mipaka kwa watumiaji wa hiyo mitandao..
Yeah ndio maana rahatupu wamebadilisha sasa hivi wanaweka picha zenye maadili sio mambo ya tigo kama walivyokuwa wanafanya b4 hiyo sharia.
Yeah ndio maana rahatupu wamebadilisha sasa hivi wanaweka picha zenye maadili sio mambo ya tigo kama walivyokuwa wanafanya b4 hiyo sharia.
mkuu n kwel kbsa siku iz rahatupu hawaweki hayo mauondo wamenikatili kudadadekii
huo ni uongoNaishukuru serikali kwa kuleta sheria ya mitandaoni. Kama si sheria hiyo rahatupu.blogspot.com wangeniharibia maisha maana kule wanafundisha mambo ya kwenda makunduchi nami nilikuwa nimeshaanza kuvutiwa na kumtaka demu mmoja wa mchangani twenzetu makunduchi siku moja akakubali. Siku haijafika nikaahirisha.
mkuu n kwel kbsa siku iz rahatupu hawaweki hayo mauondo wamenikatili kudadadekii