Umejitahidi kumsafisha ndugu yangu Lowassa lakini naona bado. Ni kama kuchota maji baharini ndoo moja utegemee bahari ikauke.
Kuhusu masuala ya afya,jamaa yupo fiti vibaya,muda mwingi tunapishana hapa msasani nyuma ya hostels za chole akiwa jogging. Hata hivyo suala la afya ya mtu binafsi...
Potelea mbali,acha ikusikitishe sana. Hatuitaki mahakama ya kadhi kwenye katiba.
Mbona waislam wanakuwa wagumu kuelewa kuwa mahakama hiyo si kosa kuanzishwa na kuendeshwa na wao wenyewe? Anzisheni,endesheni kwa mnavojua ninyi lakini maamuzi yake yatatambuliwa na serikali. Gawaneni mirathi yenu...
Mimi sijawahi kuona mahusiano yaliopatikana mtandaoni yakawa na maana.
Watu wanapigia kelele Modernization,eti "siku hizi si lazma kufahamiana,mtandaoni inatosha". Some natural aspects of life can be modified to suit life itself,BUT NOT ALL,especially those pertaining this matter.
Been...
Hivi na kule kuna mawaziri? Una maana Zanzibar ni nchi pia? Mbona hawana bank na sarafu yao? Mbona hizo wiraza zao haziwezi kuomba na kukopa pesa UN,WB na IMF? Mbona hawana kiti UN? Mbona hawana kiti AU? Jeshi lao linaitwaje? Mipaka yao ni ipi? Lakini cha ajabu wana katiba.
Maswali haya majibu...
1. Hiyo taarifa ilikuwa inahusu nini? Kama ni kufundisha ni sawa kuonesha maana hata kwenye picha za kufundisha huwa yanawekwa.
2. Si kosa kuonesha matiti wakati mtoto ananyonya. Kosa ni pale linapooneshwa bila lolote la maana ambapo,pia siyo kumdhalilisha,bali ni kuzuia zile amsha amsha kwa...
Mimi ni Mkristo tena mwenye msimamo mkali. Mimi napenda mahakama ya kadhi iwepo na IENDESHWE kwa gharama za michango ya waislamu PEKE YAO kwa faida zifuatazo.
1. Ukatili na udhalilishaji wa binadamu utakuwa wazi kwa waislamu ambao hawajui sheria za mahakama hyo nikiwa na uhakika ni wengi.
2...
I personally encourage Israelites to bomb the targets,be them military bases or hospitals or schools or whatever including the newly invented "shields". Wapalestina ni wachokozi muda wote. They seem to hate peace. I suspects that is not a war of Palestinians against Israelites,but Islamic states...
The life style of many Tanzanian is totally different from the way it used to be in the seventies, the eights or even early nineties this may be due to number of reasons but on the major one is what we eat, what we dress and what we do for leaving.
Eating behaviors has changed from...
Phone phone phone! Stylish LG Optimus 3D P920 nauza. Ipo kwenye hali nzuri. Angalia specs zake kwe web ya lg.com then PM me kama unahitaji. Ni 450,000 bei ya kutupa. Nauzia shida tuuuuu!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.