manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,092
- 11,947
cjaelewaa
nilikua nafatilia thread
ila nimefika apa nimeshindwa kurelate na topic
ubaya wa Watanzania tunapenda kila kitu kiwe siasa.
cjaelewaa
nilikua nafatilia thread
ila nimefika apa nimeshindwa kurelate na topic
Media ya kihuni haijapata tokea dunia iumbwe name Mungu....tatizo management mbovu, recruitment policy mbovu yaani muhuni yoyote anakuwa presenter, wengi wa presenters wao ni sweet failures wameungaunga sana vi-course uchwara engine hat hivyo vokozi hawana weupe peeee! With that scenario all you get are twats from a bunch of morons.
Kwa sasa wanatembea nchi nzima kusambaza ukimwi wenyewe wanasema wanasambaza upendo
Hii media ni chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili, siku hizi inajitahdi kusambaza ukimwi na ufirauni mpaka pembezoni mwa nchi na vijijini kote ni kuifuta tu ili salama ipatikane
Ila Kili Music Tour ya yule Mengi haisambaz Ukimwi si ndio?
Ukimwi bara umejaa tu na usinambie vurugu lile wewe ukasex pale?
Clouds FM ni kituo Bora cha 7 kati ya vituo vya radio 20 barani Afrika. Endeleeni kubwabwaja tu
Hakuna hata mmoja hapa ni hater wa clouds fm, hater gani anajua watangazaji na majumban kwao wanafungulia hiyo radio huku wengine wanaocomment ni radio presenters wa radio stations nyingine ambazo wanaiga saut na vipindi clouds kiukweli hata unaichukia basi utakuwa unamchukia presenter mmoja na sio radio yote. Nenda google radio stations bora africa utajua ipo level gani na ww unayoichukia na kupenda TBC fm upo level gani. am out mm mwenye napenda kipindi cha njia pande basi
Ndugu samahani kama nimetoka nje ya mada na nimekukera kwa kuongea lugha ngumu.
Najua hizo wanaweza kulipa lakini watapunguza kejeli dharau na nyodo kwenye vipindi vyao. Walikuwa wamejisahau kabisa.