kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,361
- 605
Ni sahihi kabisa Kalindi lakin pia inategemeana na uwezo wa vyote hivyo, je ni geniune? Maana mchina anakuandikia 80watts kumbe inafua umeme 40watts tu.
Pili nashauri ubadirishe bulb kama nilioyoeleza hapo mwanzo. Weka za
Wat 3 nje
Wat 2 sebureni
Wat 1 vyumbani
Hazili umeme mwingi. Soma hapo mwanzo mwa uzi nimeelezea kwa kirefu
Swali? Je betri yako huwa inajaa charge? Ni aina gani?
Maana kama inajaa na inawahi kuisha basi imechoka na kama haijai basi ongeza panel kubwa zaidi
Nina taa 3wtts @ nje 2 nawasha mwisho saa 4 usiku kisha nazima
Nina taa 5wtts 1 siting room mwisho saa 4 inazimwa na nina taa 3wtts 3 vyumbani baada ya kulala baada ya hapo nawasha kwa mahitaji endapo yatajitokeza
Kuhusu panel na betri ambavyo ni halisi kwa huo mfumo wangu nataka niongezee hapo baadae tv 32" flat screen niandae kiasi gani na wapi vinapatikana nipo Dodoma?