Recent content by UKWAJU WA KITAMBO

  1. UKWAJU WA KITAMBO

    Moto chini Sugu

    Toka Bongo mpaka Uk na kisha narudi Tena/ Nairobi na kampala nawakilisha kwa sana/ maneno bado ni Yes naona kama hakuna no!/ Sasa match ni International/ Sugu ni chama kubwa kama Arsenal/ Bado nipo dimbani na mic ipo mkononi/ labda huko niliko nifuateni/ maana inaonekana nitachelewa...
  2. UKWAJU WA KITAMBO

    Kama unataka men - QD

    Alishaondoka
  3. UKWAJU WA KITAMBO

    Broxn family - mambo yote

    BRONX FAMILY - MAMBO YOTE. "Huu ni mwanzo wa chimbuko wa Hip Hop ya Bongo walikuwepo Gwm, niggers 2 public na k wa kwanzania , Mic walishika wakiwa ma mc wenye vipaji ingawa kuna wengi walipinga na vikwazo kuviweka hawakusita kwa fikra zenye kugusa vichwa vya maadui toka 90s mawingu studio...
  4. UKWAJU WA KITAMBO

    Kama unataka men - QD

    Ni picha ya dj steve b na dj sinyorita nimepost picha ya dj steve b kwaBABU ni sehemu ya watu waliotanjwa katika hiyo nyimbo hiyo ya QD.
  5. UKWAJU WA KITAMBO

    Kama unataka men - QD

    Nampenda men mwenye umbo zuri kama jd/awe ananyuka pamba kama vile Stev B /sio maarufu sana kama hammy b / awe anajua mapenzi sana kama vile jafarai/ili nikiwa nae najua nitafurahi/ awe anapenda debe na wala asiwe na gebe /awe anajua kuimba kama shabani dede/awe ananijali lijali kama t.i.d/...
  6. UKWAJU WA KITAMBO

    Mchora katuni maarufu "Oscar Makoye"

    Yupo nchini Marekani
  7. UKWAJU WA KITAMBO

    Album ya Mkuki Moyoni ya Afande Sele

    AFANDE WA MOROGORO MFALME WA TANZANIA. Toka mwaka 2002 mpaka sasa 2022 ni miaka 20 imepita toka album ya "mkuki moyoni" toka kwa Afande Sele izame sokoni. Mwaka 2004 hii album kwa uzito wa nyimo zake ilitosha kabisa kumtangaza mfalme wa rhymes ni Afande Sele. Mkuki moyoni ni miongoni mwa...
  8. UKWAJU WA KITAMBO

    Fortune Tellers, wapiga ramli

    Fortune tellers ( wapiga ramli) " Fortune tellers kilikuwa ni kikundi cha watoto wawili wakike na wakiume " ambao walikuwa wanashirikiana na kundi la X plastaz kufanya Muziki Enzi hizo kutokea mkoani Arusha . Watoto hawa walifanya vyema sana hizo Kwa kuing'arisha bendera ya Taifa hili la...
  9. UKWAJU WA KITAMBO

    NGWEA - ZAWADI

    NGWEA - ZAWADI ___________________ JEAH! MOJA KWA MOJA TOKA CHAMBER NGWEA NA EAST ZOO YOU DOJO KAYA FELOO VERSE 1 __________ UZURU WAKO WA TABIA UMBO NA SURA NDO ULIONIFANYA SOMETIMES NISHINDWE HATA KULA / NIMESHASUMBUKA SANA MPAKA KUKUPATA ULISHANITUKANA SANA LAKINI TAMAA...
  10. UKWAJU WA KITAMBO

    Msanii Black wa Uswazi

    BLACK WA USWAZI . _____________________ Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu kuwa Hapa ulipo . Kuna changamoto nyingi sana wamepitia wachonga barabara hawa Enzi Hizo ili kuumpa...
  11. UKWAJU WA KITAMBO

    Msafiri - Kwanza Unit

    KWANZA UNIT CREW - MSAFIRI.. Ubeti1 Hii Ndo Picha Kabla Pazia la Udongo Ndani Futi sita/ Vita, Kila Watu 9 Kati ya 10 Dhidi ya Hali duni/ Naelekea Nchi ya Ughaibuni/ Nimezunguukwa na Dhoruba/ Nshapagawa Siioni Rasi Wala Ghuba/ Yah Allah! Jah, Jehovah Shuhudia Robo Zinavyoangamia/ Hali ya Hewa...
  12. UKWAJU WA KITAMBO

    Support ya msanii Soggy Doggy kwa wasanii kutoka jijini Mwanza

    SUPPORT YA MSANII SOGGY DOGGY ANTER KWA WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MKOANI MWANZA.. ____________________ ✍🏾 Bila shaka jina la Msanii Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a soggy doggy anter sio jina jipya masikioni mwa watu Hasa Kwa wadau na mashabiki wa Muziki wa Bongo fleva Nchini Tanzania...
  13. UKWAJU WA KITAMBO

    Producer Enrico

    PRODUCER ENRICO KUTOKA STUDIO ZA SOUND CRAFTERS. _____________________ 👉🏿Anaitwa Enrico figueiredo almaarufu enrico wa sound crafter's huyu ni mtayarishaji Muziki ( producer) mkongwe wa zamani, ameanza muziki tokea miaka ya 1990s.. Jamvi la ukwaju wa kitambo limebahatika kukutana nae na...
  14. UKWAJU WA KITAMBO

    Bongo new york ( album ya soggy doggy)

    SOGGY DOGGY ANTER. Jamvi la Ukwaju wa Kitambo lilibahatika kupiga stori na Msanii mkongwe katika Game ya Bongo fleva soggy doggy. Tulibahatika kuzungumza mengi ila kwa faida ya wafuatiliaji wa page hii ya "ukwaju wa kitambo" Mazungumzo hayo ni kama ifuatavyo: Ukwaju wa Kitambo :- brother...
  15. UKWAJU WA KITAMBO

    Msanii Soggy Doggy

    HABARI ZA WAKATI HUU WAFUATILIAJI WA JAMVI HILI LA UKWAJU WA KITAMBO. ................................... ✍🏻kama ilivyo destru yetu wadau na wafuatiliaji wa jamvi la Ukwaju wa Kitambo, huwa tuna desturi yakufanya mahujiano na wasanii wakongwe katika Game hii ya bongo fleva.. ✍🏻wiki hii...
Back
Top Bottom