Recent content by Ugweno

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

    Duu kamaliza form 4 na miaka 21!!!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Wasira waliojiunga CHADEMA watoa ufafanuzi juu ya uhusiano wao na Waziri Wasira

    Sio watoto wa Steven ila watoto wa Wasira!Mwanzilishi wa CHADEMA. Leo ndio nasikia jina la ukoo ni la mtu mmoja????!!!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaishitaki Malawi UN

    Hii kesi imeisha isha na Wamalawi baada ya kutolewa vielelezo na mchanganuo wa kisheria ndipo walipokacha kikao cha Dar. Soma article ya Hamza Johari akimjibu advocate Fatma Karume ambae alikuwa na mawazo kama yako 'Is Anglo-German Treaty of 1890 on the Border delimination between Malawi and...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa CloudsFM na Gerald Hando

    wote mnaochangia either hamkumsikia Gerald au tayari mna maamuzi vichwani hata kabla ya hoja AU NI MAGAMBA1nilitegemea tumpongeze Gerald kwa kufananinisha bunge letu na big brother!moja na mambo aliyosema ni kuwashangaa wabunge kumtunza mwenzao hela wakati anaongea utumbo!ki ukweli Gerald...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo umetisha

    Fomu za kuomba kuunganishiwa tu hakuna Dar nzima huo umeme wa kuunganishia mwezi mmoja atautoa wapi???!!!keshaambukizwa uongo huyo!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya mbowe mazishi ya Makani imebeba uzito stahiki unaofikirisha

    On top of that,Mzee Brown Ngwililupi alikuwa Mnyakyusa Card #1 Mzee Mtei-North Card #2 Mzee Brown-south Card # 3 Mzee Makani-West
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kashfa nzito: Malipo hewa kwa wabunge na ubadhilifu wa pesa bungeni waanikwa na CAG

    Ripoti ya CAG ina kurasa zaidi ya 300 so sio kwamba kaja hii ni mtu kupitia na kunyofoa sehemu ya taarifa!
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa yapata msajili mpya mwanamke

    Good News na pole kwa maumivu!!!Tumefurahi kusikia,lete umbea mwingine.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Dar foleni leo kiboko

    Natumaini itajivuta vuta mpaka Jollies angalua nipate Castle Light baaaaarrrrrrrriiidi:heh:
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Yaani umeelezea kama vile mwanasheria kumbe bogas tu!Vitabu gani vya sheria umefundishwa kuwa ubora wa mwanasheria unasaidia kupata dhamana katika murder case??????????????????????????????????
  11. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kupata ofisi mpya ya Makao Makuu-Mwenge

    Una point sana mkuu hata mie huwa najiuliza ni kipi CCM wamefanya kwa nguvu yao?binafsi nikiwa shule nimetumika kusomba matofali ya kujenga uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora ambapo kila shule ilikuwa na ratiba ya kupeleka wanafunzi kusaidia mafundi, surprising leo huo ni uwanja wa CCM!!!???!
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ijumaa kuu kula,kunywa

    Hii inatuhusu vp?Nilitamani kupita tu ila nalazimika kuwaomba wakuu kutochangia huu uzi,jamaa anatafuata rank tu hapa!Please tuipotezeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

    Kweli mkubwa ndevu na wala sio akili!wewe hukumsikia akiongea kiswahili wakati wa kukabidhi?!?sio ajabu katika post 222 una like 21 tu! hebu jaribu kuruhusu ubongo wako utumie angalau akili kidogo ulionayo acha na hizo ndevu hata mataaira wanazo:heh:
  14. U

    JamiiForums Tanzania Said Mwema + Charles Chagonja: Kuparaganyika kwa jeshi la Polisi; Lowassa hapa vipi?

    Nakubaliana na wewe mkuu, kuna haja ya kulazimisha mabadiliko
  15. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA chatoa masaa 36 waliowavamia wabunge wake kukamatwa...

    Ukiwataja watu wenye ukwasi RPC mstaafu Alfred Gewe mtoe kabisa jamaa ni muadilifu na anaishi maisha ya kawaida sana hapo Tabata Kimanga,hajawahi kuwa fisadi kama great thinkers vema tukawa tunafanya utafiti kabla ya kuchafua watu
Back
Top Bottom