Ijumaa kuu kula,kunywa

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
Baadaya ya Ijumaa Pasaka hufuata! Our principle in our church kwamba Ijumaa Kuu ni siku ya kunywa na kula pamoja na kushangilia kwani ni siku ya ukombozi hivyo hakuna haja ya kulia au kuhuzunika.
Nawasilisha!
 
Wewe sio mkristo achana na imani za watu
 
Mkuu Yupi ni Mkristo wa kweli? huwezi jua mkristo wa kweli kwa kwenda kanisani! Bali maneno na vitendo.
 
Hii inatuhusu vp?Nilitamani kupita tu ila nalazimika kuwaomba wakuu kutochangia huu uzi,jamaa anatafuata rank tu hapa!Please tuipotezeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Mkuu Yupi ni Mkristo wa kweli? huwezi jua mkristo wa kweli kwa kwenda kanisani! Bali maneno na vitendo.
Wewe ni mmoja ya watu wanaoiba rasilimali za nchi hii kwa kupotezea watu muda wao
 
We ni mpuuzi sana, na usipende kuchezea imani za watu, shetwan mkubwa we, astaghafulilah!
 
Baadaya ya Ijumaa Pasaka hufuata! Our principle in our church kwamba Ijumaa Kuu ni siku ya kunywa na kula pamoja na kushangilia kwani ni siku ya ukombozi hivyo hakuna haja ya kulia au kuhuzunika.
Nawasilisha!

Hayo yameandikwa kwenye msahafu wa "dini" gani? Unaweza ukatupa na page number?
 
Yesu wakati akibeba msalaba wanawake walikuwa wanamlilia(kama wengine leo wafanyavyo), akawaambia msinililie mimi' bali ililie nafsi yako.
 
hivi jamani tafsiri ya good friday ni ijumaa kuu au ijumaa njema/nzuri
 
Back
Top Bottom