CHADEMA kupata ofisi mpya ya Makao Makuu-Mwenge

Arusha tutashinda kwa garama yoyote. Kumbukeni Arumeru tuliwaachia kwasababu tunazozifahamu sisi. Am hapy mmeanza kujitambua

You will never unless people decide to grant you the constituent.
 
Kuna uhusiano gani kati ya sabodo na mbowe? (au ndio ile biashara ya yetu haram)

Naona anatumia sana jina la mwalimu nyerere kuna nini?

Majitaka hayo. Hivi watu wengine kuuona ukweli kama ulivyo na kuukiri, hata kama wakati mwingine unauma, inakuwa vigumu? Ni kwa nini ionekane Mzee Sabodo anafanya biashara chafu mara baada ya kufanya aliyoyafanya? Au kwa kuwa hakukuchangia wewe? Kama anafanya biashara chafu wajibu wa serikali ni upi? Ipo wapi siku zote? Maji taka na fitina ndivyo vimeimaliza CCM na vitaishia huko huko kwa sababu ndiyo aina ya maisha na siasa mlizozichagua wenyewe.
 
wahindi wanaonyesha kuguswa na chadema kwa sababu?????wamesoma alama za nyakati??wameshaona ccm kwaheri????hizo hela ni zetu anyway!wape na nccr wape na cuf'wahindi wanatumia sehemu kubwa ya brain kufikiri
 
Nadhani pale sio Mwenge ni Mikocheni...angalizo Chadema kuweni makini kuna baadhi ya vitu chama kinatakiwa kufanya kwa nguvu zake, siku Sabado hakiwa hayupo familia yake wakalitaka jengo lao itakuwaje?

Iwe Mwenge au Mikocheni inahuuuuuu?
 
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo, amesema anafanya mazungumzo na wataalamu wake kuangalia uwezekano wa kuipatia CHADEMA jengo lake la kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, liliko eneo la Mwenge (ITV), Dar es Salaam ili wafanye ofisi ya kisasa.

Akimshukuru mfanyabiashara huyo kwa msaada wa jengo hilo na kiwanja, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willbrod Slaa, alisema pamoja na msaada wa sh milioni 100 waliopewa watatumia sehemu yake katika matengenezo ya ofisi hizo, na sehemu nyingine kuingizwa katika mfuko wa ‘CHADEMA Movement for Change’ (M4C) uliozinduliwa hivi karibuni.

Source: Tanzania Daima.


MY TAKE: Asante Sabodo na Hongera Chadema kwa kupata ofisi mpya, matarajio yangu mtaitumia hiyo ofisi kama chachu ya maendeleo ya chama na wananchi kwa ujumla.

Soon utasikia eneo lile ni eneo la barabara!
 
Ila one thing sijapenda, Dr Slaa anasema 'watatumia sehemu ya 100m kwa matengenezo ya hiyo ofisi'! Kwani walijua watapewa mshiko na ofisi? Nini mipango ya CDM kuwa ofisi kabla ya mchango wa Sabodo?
Hayakuusu wacha kiherehere kaka
 
Na zile kura elfu 22 na ushee za CDM Igunga zilitoka mjini?

Inshort CCM wameloose focus at one ilikuwa rika ikaja maeneo sasahivi hawaeleweki. Ni mwendo wa Kupigwa chini na kuvimba juu!
 
Nadhani pale sio Mwenge ni Mikocheni...angalizo Chadema kuweni makini kuna baadhi ya vitu chama kinatakiwa kufanya kwa nguvu zake, siku Sabado hakiwa hayupo familia yake wakalitaka jengo lao itakuwaje?

angalizo ni zuri, ndio maana SABODO kasema anacheck na wataalam wake kuwakabidhi mali hiyo. nadhani anaangali amzingira ya kisheria ili lutoa baraka zote, na CDM wawe makini zaidi, na kama wakipewa, walitumie siku likitokea la kutokea basi walirudishe kwani kama litatumia kwa miaka 5, litakuwa limeokoa pesa nyingi zitakazo ingizwa kwenye M4C
 
Ritz anaweza akatueleza ni ipi mali halali ya ccm, ama hakika siku wakiondoka madarakani hicho ndo kitu cha kwanza kurudishwa serikalini, majengo na viwanja vyote vimejengwa na uma siyo chama hivyo basi ni lazima virudi kwa uma
 
wahindi wanaonyesha kuguswa na chadema kwa sababu?????wamesoma alama za nyakati??wameshaona ccm kwaheri????hizo hela ni zetu anyway!wape na nccr wape na cuf'wahindi wanatumia sehemu kubwa ya brain kufikiri
wahindi au muhindi mmoja kichaa!
 
Nadhani pale sio Mwenge ni Mikocheni...angalizo Chadema kuweni makini kuna baadhi ya vitu chama kinatakiwa kufanya kwa nguvu zake, siku Sabado hakiwa hayupo familia yake wakalitaka jengo lao itakuwaje?

Una point sana mkuu hata mie huwa najiuliza ni kipi CCM wamefanya kwa nguvu yao?binafsi nikiwa shule nimetumika kusomba matofali ya kujenga uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora ambapo kila shule ilikuwa na ratiba ya kupeleka wanafunzi kusaidia mafundi, surprising leo huo ni uwanja wa CCM!!!???!
 
Huwa sikubaliani sana na misaada. Haya ndio yanaifanya CCM wasiweze kufurukuta leo mbele ya akina Rostam. CHADEMA inabidi wawe makini sana
 
Back
Top Bottom